Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,325
- 152,136
Hili ndio swali ninalojiuliza baada ya Mbowe leo kuongea na waandishi wa habari.
Tusisahau kuwa kwa sass Lissu hana tena cha kupoteza baada ya Mbowe kutangaza kugombea na kama kuna mambo hakuyasema, basi kwa sass tutarajie kuyasikia
Swali ni je, TBC watarusha live mkutano wake iwapo ataitisha mkutano wa waandishi wa habari?