mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,665
- 9,004
wakuu habari zenu nilikuwa nimedownload rss player ktk simu yangu kuna link moja ukiiweka unaangalia drama nyingi sana za kokirea na kichina sasa simu ilikuwa inazingua leo nikafanya factory setting sasa ile link nimeichek google hakuna kwa anayejua naomba anisaidie