Abuwhythum
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 837
- 495
NdiyoUna.maama ya SIM Card au?
Wanauza shilingi ngapi hivi?sim card wanazo 3G na 4G nazinatumia simu za kawaida kabisa sema hawapo sehemu nyingi kwasasa ni dar na dodoma mie nayo line nilienda nayo mwanza ikawa bado hakuna network
dar wapo sehemu nyingi tu ila makao makuu ni samora avenueWakuu kwa dar nawapata wapi
Mimi wa tabata au mabibo hosteli chuo eneo gani karibu nnaweza wapata mkuudar wapo sehemu nyingi tu ila makao makuu ni samora avenue
Asante mkuu;Line inauzwa tsh 2000/=baada ya kuisajili unapewa sms 200. Mb200.utaongea Ttcl kwenda Ttcl buree mwezi mzima. Wanakurudishia tsh1000/=toka hiyo elfu 2000/=unawekewa ktk account yako utaitumia kupiga simu kwenda mitandao mingine ukilipia tsh 1/=kwa kila seconds... Hii ni bila kujiunga.
Hawa lazima waangukie pua kwenye hii biashara ya mawasiliano. Hawajajipanga kabisa.mm nimenunua line ya 4g lkn ukiiweka kwenye simu ambayo haina internet(kama nokia ya tochi) haisomi kabisa.....inatumika kwenye smartphones tu
yani wanazingua balaa......kama una moderm na nokia ya tochi.,,.inabidi ukaazime smartphone uunge bando ndio uweke kwenye modem yakoHawa lazima waangukie pua kwenye hii biashara ya mawasiliano. Hawajajipanga kabisa.
*148*30#Hivi vifurushi vyao unajiunga vipi?