Lindi hali tete kwa wafanyabiashara wa nyama

Kijito

Member
Mar 4, 2017
54
56
Katika kusherekea sikukuu ya pasaka mabucha mengi yamejikuta katika hali ngumu baada ya biashara hiyo kuwa ngumu na nyama nyingi kubaki buchani ikiwa ni tofauti na kipindi cha nyuma.
 

Huko hawalagi za buchani
Wanakulaga samaki nchanga
(Panya)

Wasubiri 2019 kutakuwa na nyama nyingi
Kwenye mikutanno, flana na kofia za rangi ya kijani kijani na kanjano kidogoo.
 
Kapicha basi.wenzako tunafanya utafiti vipicha vitatusaidia Mkuu.Maneno matupu unatupa tabu
 
Sasa kama umekaa tu unategemea uletewe pesa hapo ulipo huyo sahau kwa Dr Magufuli.

Na kama hautaitafuta pesa usitegemee pesa ya kupewa na ndugu jamaa na marafiki kama enzi za Dr Kikwete.

Mzee Mwinyi ameshakuambia kila jambo na zama zake.Tafuta pesa ule nyama kama shida ni kula nyama.
 
Pesa baba pesa baba imeota miguu inakimbia kuliko hata yule mkimbiaji maarufu wa Jamaica. Watu wanajilia kisamvu na mchicha siku hizi.
Dah mkuu BAK its ironic hicho kisamvu, mchicha mbogamboga na dagaa havishikiki hapa maamae Iyo bei ni balaa Yani ni lulu.
 
Reactions: BAK
Aweke Sasa mazingira mazur ya kutafuta Iyo hela. Si aliahidi viwanda na ajira. Awe na utashi wa siasa
 
Magufuli atakuwa na medani ya kuwa na taifa la watu wenye afya njema sana duniani, kula mboga mboga ndiyo mpango wenyewe kwa sasa.
hahaha besti but remember eating always one type of food UL end up having scurvy. Nyama muhimu bas angalau hata samaki iwe alternative. Wanasayans wanakuambia animal protein is the best than plant protein.

Chakula bongo kimekuwa anasa and its a serious issue especially to our children growing up with malnutrition ambayo inaathiri IQ japo iq ni genetics ila msos na mazingira inachangia
 
Wewe bongo mayai na maziwa ni anasa, inasikitisha sana. Lakini wakina mama wajifunze kuwapa watoto uji wa karanga una protein nzuri tu.
 
Wewe bongo mayai na maziwa ni anasa, inasikitisha sana. Lakini wakina mama wajifunze kuwapa watoto uji wa karanga una protein nzuri tu.
inasikitisha sana. Tungetumia nguvusana weledi na utash wa kisiasa kufanya agricultural revolushen. Wenzetu ishu ya msos walishadhibit longtime. Karanga and other healthy nuts and legumes are very good source of protein alternative to meat.

Dodoma Na tabora karanga za kumwaga ila baas tu sisi
 
Mada kuu ni kwamba watu wana biashala zao aziend sasa ww mambo ya kuletewa pesa na ndug yanatoka wapi yani nyumbu wa kijani kaz yao kujisaidia azalani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…