Lile kundi la Yanga timu zote chalii Yanga, Tp Mazembe, Mc Alger na Al hilal

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
20,000
24,168
Hili kundi ndio lilikua na timu mbovu kupitiliza lakini hapa yanga ndio alikuwa mbovu kuliko wote alifungiwa hapa hapa kwao.....Tp mazembe out...Mc Alger out....yanga out na Al hilal ibenge ngungu yanga out...Hslafu bado wanasema ....rank zimetoka msije sema hamjapewa taarifa kila mmoja akague timu yake ipo nafasi ya ngapi andike hapa tufahamiane....
 
Al Hilal katolewa na timu iliyomtoa Simba kwenye robo fainali kwa kipigo cha 3:0. Bora hata Ibenge kakomaa kafungwa 2:0.

Mc Alger katolewa na timu ambayo ni un beaten msimu huu, Al Ahly mwenyewe kasanda kwake kwa kukubali kipigo ndani ya uwanja wake Misri kaambulia kupata goli moja tu na kapoint kamoja tu katika michezo yote miwili. Sasa sijui Simba angechapika kwa kiasi gani kama vitimu visivyokuwa mabingwa tu hata kwenye msimamo wa ligi wako ovyo ila anasumbuka navyo hadi kupigiana matuta.
 
Simba si kamtoa mwarabu juzi au unazungumzia simba ya uganda?
 
Al Hilal katolewa na timu iliyomtoa Simba kwenye robo fainali kwa kipigo cha 3:0. Bora hata Ibenge kakomaa kafungwa 2:0.

Mc Alger katolewa na timu ambayo ni un beaten msimu huu, Al Ahly mwenyewe kasanda kwake kwa kukubali kipigo ndani ya uwanja wake Misri kaambulia kupata goli moja tu na kapoint kamoja tu katika michezo yote miwili. Sasa sijui Simba angechapika kwa kiasi gani kama vitimu visivyokuwa mabingwa tu hata kwenye msimamo wa ligi wako ovyo ila anasumbuka navyo hadi kupigiana matuta.
Mkuu , umezunguka weeee lakini ukweli unabaki palepale kwamba utopolo linapokuja suala la mechi za kimataifa ambazo hazidhaminiwi na gsm anageuka kuwa kengold aliyechangamka.
 
Akili ni nywele na kila mtu ana zake. Miaka yote wewe unahangaika kuvuka robo unashindwa, kila mbinu ulikua unatumia mpaka uchawi wa wazi bado ukashindwa msimu huu ndio umefanikiwa leo unasema mechi za kimataifa Yanga hawezi kwa sababu hazidhaminiwi na GSM? Kwani wewe una mafanikio gani kwenye hizo mechi za kimataifa ambazo unajiona wewe ndio baba lao?

Msimu ambao Yanga anafika fainali kulikua na timu ngapi za GSM? Kwenye ligi ya NBC Azam, kolo wote wanadhaminiwa na GSM? Tumieni akili msitumie muda mwingi kutu prove Umbumbumbu wenu
 
Al Hilal katolewa na timu iliyomtoa Simba kwenye robo fainali kwa kipigo cha 3:0. Bora hata Ibenge kakomaa kafungwa 2:0.

Mc Alger katolewa na timu ambayo ni un beaten msimu huu, Al Ahly mwenyewe kasanda kwake kwa kukubali kipigo ndani ya uwanja wake Misri kaambulia kupata goli moja tu na kapoint kamoja tu katika michezo yote miwili. Sasa sijui Simba angechapika kwa kiasi gani kama vitimu visivyokuwa mabingwa tu hata kwenye msimamo wa ligi wako ovyo ila anasumbuka navyo hadi kupigiana matuta.
Hatutaki bla bla nyingi hiyo kundi hawajatolewa wote au hapana?hayo maelezo hujaulizwa acha kukata mauno.
 
Hizi mada zingine za kidwanzi sana. Hawa jamaa wiki nzima walikua kimya sasa wamepata topic ya kutembea nayo.
Wanajisifu katika kudi lao wamepeleka timu mbili wakati kwenye msimamo wa ligi za nchi yao hao Constantine wapo nafasi ya 10 huko huku Mc Alger wakiwa wanaongoza ligi na mechi mkononi.
Mashindani dhaifu unafananisha na mashindano ya kibabe
 
Hili kundi ndio lilikua na timu mbovu kupitiliza lakini hapa yanga ndio alikuwa mbovu kuliko wote alifungiwa hapa hapa kwao.....Tp mazembe out...Mc Alger out....yanga out na Al hilal ibenge ngungu yanga out...Hslafu bado wanasema ....rank zimetoka msije sema hamjapewa taarifa kila mmoja akague timu yake ipo nafasi ya ngapi andike hapa tufahamiane....
andike ❌
aandike ✅
Nikiripoti mimi Makolokolo Kungwi Mwandamizi Mkuu toka umbumbumbuni.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Hili kundi ndio lilikua na timu mbovu kupitiliza lakini hapa yanga ndio alikuwa mbovu kuliko wote alifungiwa hapa hapa kwao.....Tp mazembe out...Mc Alger out....yanga out na Al hilal ibenge ngungu yanga out...Hslafu bado wanasema ....rank zimetoka msije sema hamjapewa taarifa kila mmoja akague timu yake ipo nafasi ya ngapi andike hapa tufahamiane....
Haya sasa, tuliwaambia yanga wako kundi mchekea na wao (yanga) ni underdog wakashupaza shingo. Kundi lote limefurushwa sasa.
 
Hizi mada zingine za kidwanzi sana. Hawa jamaa wiki nzima walikua kimya sasa wamepata topic ya kutembea nayo.
Wanajisifu katika kudi lao wamepeleka timu mbili wakati kwenye msimamo wa ligi za nchi yao hao Constantine wapo nafasi ya 10 huko huku Mc Alger wakiwa wanaongoza ligi na mechi mkononi.
Mashindani dhaifu unafananisha na mashindano ya kibabe
Rank za caf zimetoka haya tuambie uko nafasi ya ngapi kiubora!
 
Akili ni nywele na kila mtu ana zake. Miaka yote wewe unahangaika kuvuka robo unashindwa, kila mbinu ulikua unatumia mpaka uchawi wa wazi bado ukashindwa msimu huu ndio umefanikiwa leo unasema mechi za kimataifa Yanga hawezi kwa sababu hazidhaminiwi na GSM? Kwani wewe una mafanikio gani kwenye hizo mechi za kimataifa ambazo unajiona wewe ndio baba lao?

Msimu ambao Yanga anafika fainali kulikua na timu ngapi za GSM? Kwenye ligi ya NBC Azam, kolo wote wanadhaminiwa na GSM? Tumieni akili msitumie muda mwingi kutu prove Umbumbumbu wenu
Yanga kwenye CAFCC alikuwa anakutana na vibonde watupu kuanzia robo hadi nusu.

Sasa imagine eti robo unakutana na Rivers United halafu nusu unakutana na Marumo Gallants ambayo ilikuwa kwenye hati hati ya kushuka daraja.

Simba tangu hatua ya makundi anakutana na vigogo kama CS Sfaxien ambaye ndiye bingwa wa mashindano ya CAFCC mara nyingi, CS Constantine ambayo ni timu ngumu.

Robo unakutana na mwarabu mwingine kutoka pale kwa Farao Al Masry unamtoa.

Nusu fainali unakutana na Stellenbosch ambayo imetoka kumtoa Zamalek moja ya timu vigogo pale Egypt.
 
Back
Top Bottom