Ligi kuu kuendelea kuanzia mwezi wa tatu

Wakuu ligi kuu Tanzania bara imesimamishwa hadi mwezi wa 3 na bodi ya ligi, sababu ikiwa ni kupitisha Mapinduzi Cup na CHAN.
Naona kwa sisi wadau wanaopenda ligi kuu hawajatutendea haki.
Hao bodi ya ligi na TFF wamekurupuka, hapo Mapinduzi Cup wachezaji wangapi wanaenda na kwa muda gani? Mbungi ingepigwa kasoro timu zenye wachezaji zaidi ya 3.
 
Hao bodi ya ligi na TFF wamekurupuka, hapo Mapinduzi Cup wachezaji wangapi wanaenda na kwa muda gani? Mbungi ingepigwa kasoro timu zenye wachezaji zaidi ya 3.
Yaani ukishasema watatu ,kumbuka utaleta viporo TU ni lazima ambavyo nao ni lazima wawasubiri wengine ligi iiishe pamoja
 
Hao bodi ya ligi na TFF wamekurupuka, hapo Mapinduzi Cup wachezaji wangapi wanaenda na kwa muda gani? Mbungi ingepigwa kasoro timu zenye wachezaji zaidi ya 3.
Karibia kikosi kizima cha Azam wachezaji wa TZ na Zanzibar kimeenda
 
Timu ikitolewa wanarudi tunaendelea. Sijawahi ona au kusikia popote duniani ligi inasimama miezi 2 kwa sababu za kijinga hivi
Kuna pande 2 hapa wakwanza nzuri maana unawasaidia watu wa mbali kama kagera Sugar anasafiri mpk labdah Namungo bila shida anacheza anarudi taratibu bila kukimbizana ..wapili mbaya maana lazima ligi ifate tm fulan(Simba na Yanga),Hawa mabwana Hawa majamaa match fitness wanayo mda wrote maana hata ligi ikisimama ni kwasababu yao wapo kimataifa na miezi hii miwili wachezaji wao watacheza tu hivo fitness kwao inakuwa kubwa sana tofauti na timu nyingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom