Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 1,117
- 2,165
Utaratibu wa ukamatwaji wa makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. John Heche ni uvunjifu wa haki zabinadamu
Kituo cha sheria na haki za binadamu tumeona katika vyombo vya Habari suala linaendelea huko Kariakoo kiongozi wa CHADEMA ambaye ni Makamu Mwenyekiti John Heche tumeona namna ambavyo amekamatwa na polisi, na polisi ni wengi na wamekamtwa kwa namna Fulani ya udhalilishaji ambayo kwa muujibu wa haki za binadamu hata sheria si sawa.
Soma Pia: John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo