LHRC, Haki ni ya kupata Habari au LIVE COVAREGE Bungeni?

kanone

JF-Expert Member
Oct 10, 2013
6,188
1,576
Mwasheria wa LHRC,AMELDA URIO,
AJITOKEZA NA KUPONDA KUONESHWA BUNGE USIKU NANKUTAKA BUNGE LIONYESHWE ASUBUHI KAMA HAKI YAO YA KUPATA HABARI,
LAKINI
NIMEJIULIZA LIKIONYESHWA USIKU SIO HAKI LIKIONYESHWA ASUBUHI NI HAKI,
SWALI
TAARIFA YA HABARI UWA NI LIVE COVAREGE AU RECODED NA KUSOMWA LIVE MBONA HAWAJAWAI KUJITOKEZA KUDAI KUONYESHWA LIVE WAKATI MATUKIO YANATOKEA HUKO YANAKOCHUKULIWA?
WANASHERIA WASIOLISAIDIA TAIFA KUONDOKANA NA UMASIKINI KWA KUJITOKEZA KUISAIDIA SERIKALI NA KUPINGA UTARATIBU WA KUTOFANYA KAZI NA KUKAA VIJIWENI UMASIKINI UKIONGEZEKA WANAFAIDA GANI?
 
kuna watu huwa wana asili ya kufata mkumbo kama nyumbu,kwa ufupi ni kwamba hawajui watendalo.
 
Hapo LHRC ni zaidi ya jibu. Wanapeana kazi hapo na wengi wao wanatoka sehemu moja ya nchi
 
Ki ukweli wanachohofia wapinzani ni TBC kukata vipande vyote hatarishi kwa serikali, na vipande vyote ambavyo wapinzani watawasha moto... Kumbuka coverage ya TBC ni kubwa kuliko Azam na star ambao wataendelea kurusha Live (ceteris paribus - maana si unawajua ccm)
 
kuna watu huwa wana asili ya kufata mkumbo kama nyumbu,kwa ufupi ni kwamba hawajui watendalo.
kama mleta mada anavyofata mkumbo wakutaka watanzania kukubali kila jambo hata kama ni ovu kwakuatu linafanywa na serikali ya chama chake.
nihaki ya kila mtanzania kupata habari lakin habari yenyewetu haitosh ila uhakika wa ukweli wa habar yenyewe ndio tatizo hapa.tbc ni chombo cha umma kinachomilikiwa na serikali.tibc sio taasisi huru ambayo inaweza kurusha hata lile lisilo ipendeza serikali.ikiwatu kwenye kampen hivi juz walikua wanaonyesha mikutano ya ccm tu wakiviacha vyama vya upinzan mpaka pale wananch walivyopiga kelele sana ndio kidogo ikawa afadhali.na hizo nikampeni je sasa kwenye bunge ndo wataweza kutenda haki?na wamepewa nafas ya kurusha watakavyo?wananch sio wote wafata upepo.jambo hili kwa mtu mwenye akili halikubaliki
 
mkuu mtoa mada hana dalili ya kufata mkumbo bali anadhibiti wafata mkumbo.
 
Hawa ni wakurupukaji tu.Bomoa bomoa watu wamelala nje mbona hatukuwasikia,watangaze tu kuwa wao ni jumuiya ya wanasheria wa chadema
 
We
Wewe ndo una shida ya uelewa mlisoma wapi nyie watu
 
Wewe mleta mada ni jibu Na unahitaji kutumbuliwa, sie wananchi tunataka bunge lionekane moja kwa moja, hatutaki upuuzi wenu mnotuambia
 
haitakiwi kuedit edit
 
Hivi LHRC kuna wanasheria? Mbona mie sijawahi waona, wote niliowaona pale ni wanasiasa watupu waliopitia kozi za sheria.
 
Naheshimu muda ulioutumia kuandika thread hii, ni hilo TU!

kuna watu huwa wana asili ya kufata mkumbo kama nyumbu,kwa ufupi ni kwamba hawajui watendalo.
Huyu mleta uzi hajui kwamba Taarifa ya habari lazima iandaliwe na ihaririwe.
Bunge halihitaji hayo, na watanzania wanahitaji kupata matangazo pure kutoka bungeni ili wapate kuona yale walio watuma wawakilishi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…