CostantineC
Member
- Dec 28, 2012
- 30
- 11
Na LG wanarud tena kwenye competion ya biasharaNokia ndo habari ya mjini
Usijali mkuuWekeni na picha au movie kidogo
inawezekana simu yenyewe ndio hii hapa
hahahahahahahaMtanzania wa kipato cha chini kwa kupenda sifa atapambana mpaka ainunue
Ndio zenyewe hizoinawezekana simu yenyewe ndio hii hapa
HahahahaMr wenger unawazimu hajahahaha
Ila kumbuka kuna watu wanapenda simu zenye size kubwawapunguze size..
Hizo hapo juu mdau Seguzo amewekaWeka picha
Oh! nimeona ila sasa niulize tu kitu kimoja "Hio simu inaendana na wakati huu wa 4g au ni 3g na android vision yake ni ngapi?"wapunguze size..