Mbowe alifanya kosa dhidi ya Universe sasa analipia

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
16,656
31,346
Moderator Naomba kichwa cha habari kisomeke hivi👇👇👇👇

TAREHE 17 SEPTEMBER 2017, MBOWE ALIFANYA KOSA KUBWA SANA DHIDI YA UNIVERSE.
............................................................

Niliwahi kuandika hapa Jf kwamba ndugu, jamaa au rafiki yako wa karibu akipatwa na jaribu/mtihani wa maisha utakao muweka kwenye mstari mwembamba baina ya Kifo na mauti basi kabla haujachukua jukumu la kumsaidia ni vyema kwanza uombe kibali cha universe ikuruhusu umsaidie au lah kama haujui namna ya kucommunicate na universe ni bora umwambie Mungu " Mapenzi yako yatimizwe" kama Mungu umepanga mtu huyu aondoke basi wacha aondoke tu lakini kama umepanga asiondoke basi na iwe hivyo.

But ukijaribu kupambana na mapenzi ya Universe kwa kupambania uhai wa ndugu yako basi universe lazima itakuadhibu kwa kuingilia mchakato wake halali kabisa.

Experience inathibitisha hilo. Most of the time ndugu jamaa na marafiki wanao jaribu kuokoa uhai wa ndugu zao walio katika hatari ya kufa huwa wanakuwa punished heavily.

Mwaka 99, Ilala pale kuna jirani zetu mtoto wao wa kwanza wa kiume alikuwa anasoma UDSM aliigua ugonjwa usio julikana na alikuwa wa leo wa kesho. Ndugu zake wakampambana kweli kweli hadi kwa waganga mwisho wa siku jamaa akatapishwa vitu vya ajabu akapona akahairisha mwaka baadae akaendelea na chuo akamaliza...

Fast forward: JAMAA baadae alienda kusoma South Africa masters..akiwa South akajiunga na makanisa ya mitume na manabii kutoka Congo, Ghana ma Nigeria dizaini ya kina kuhani Mussa ( japo kwao ni waislamu)

Makanisa yenyewe yana operate kama Vilinge. Maandiko wana ya twist. Kwa mfano " Nabii" anaweza kuwaambia " wenye shida kwenye biashara ijumaa hii mje kuonana na mchungaji ofisini kwake".

Ukienda kumuona mchungaji sasa , anakwambia mtoe sadaka mtoto wako wa kwanza. Ukiguna anakusomea Biblia andiko linalo sema Mungu alimwambia Ibrahim amtoe mtoto wake Sadaka "

Ukikubali sasa, kafara haitolewi kwa staili mliozoea huku Tanzania ya kutumwa jini kisha anaenda kunyonya damu ya nduguyo aliechaguliwa kutolewa kafara, Hell No!

Inatolewa kwa njia ya jambazi anaetumia uchawi kuua watu kwa kafara.

Inakuwa hivi, hapo kilingeni kwa mchungaji kunakuwa na msoma nyota na Faraqh.

Msoma nyota atasoma nyota ya nduguyo alie chaguliwa kutolewa kafara kisha ataandika ripoti yake na kumpa " Nabii"

Ripoti hiyo pamoja na mambo mengine itaelezea:

1. Siku maalumu ya kinyota ambayo huyo mtu anatakiwa kuuwawa. Kwamba akiuwawa siku hiyo ndio miungu Ita approve kafara hilo plus muuaji hatokamatwa wala hatokuwa traced.

2. Saa maalumu ya kufanya tukio.

3. Aina ya silaha inayo takiwa kutumika na sehemu ya mwili ambayo silaha inatakiwa kuelekezwa plus idadi ya mashambulio.( kama risasi 4 au Kisu kimoja mara 5 etc)

4. Sifa za mtu au watu ( wauaji) watakao enda kumuua. Mfano : Awe mwanamke au mwanaume
. AWE na sifa y kipekee mfano Kashindye( aliezaliwa ametanguliza matako) pacha wa kwanza au pacha wa pili, mtoto wa tatu wa mtoto wa 3 etc.

Then wiki moja kabla ya tukio halisi kufanyika, Nabii pamoja nakikundi cha wachawi anao fanya nao kazi wanaanza kukulaani wewe unaetakiwa kuuwawa kwa kukutamkia matamko ya mauti, kukufuta kwenye ulimwengu wa wanao ishi. The declare you as a dead person. Na wanatoa na kafara kabisa. Plus wanawaombea hao wanao kuja kukuua kwenye miungu yao.

Siku ya siku ama utapigwa risasi, utachomwa vitu, utagongwa na gari etc.

Kinacho hitajika hapo ni damu.

Sasa huyo jamaa wa Ilala alifyeka karibu ndugu zake wote plus baba ake mzazi. Alicho kuwa anakifanya ni kuwaita wadogo zake Sauzi kwamba amewatafutia kazi, alianza na wadogo zake wawili mapacha wakauwawa kwenye tukio la kutatanisha..aliwatafutia kazi ya uhudumu kwenye bar siku ya tukio bar ikavamiwa wakauwawa.

Baadae baba akajifanya kapata mke so akamuita baba ake Sauzi, baba mtu akaenda kufa kwenye ajali ya gari " ya kutengenezwa".
Baadae akamuita mdogo wake mwingine wa kiume dogo akagoma kwenda akasema kuna Kozi anatakiwa kuifanya. Hapo familia walishashituka kwa sababu walitembea kwa " watalaamu" kujua kunani.

Baadae jamaa akaja bongo akamshawishi sana dogo aende Sauz. Dogo akashawishika akaenda akakaa miezi 8 akarudi bongo likizo akarudi Sauzi tena akakaa kama miezi mitatu akarudi bongo tena. Kidogo familia wakaanza kurudisha imani kwa jamaa. This time dogo kasema ataenda Sauzi na mdogo was mwingine. WALIVYO enda hawakukaa miezi miwili wakala chuma.

Mama mtu kabaki na mtoto mmoja wa kiume ambae ni classmate wangu.

Kurudi kwa watalaamu wakaambiwa jamaa anawatoa kafara.

Baadae jamaa akarudi tena bongo kusalimia. Mama mtu akakimbia nyumba dogo akakimbia nyumba wanamuogopa wanajua anything can happen to them. Mama mtu na mtoto mtu ( class mate) wanajuta kwanini hawakumuacha hiyo 99 afe.

Walikuwa terrorize kiasi na wakaanza kuhangaika ili wamuondoe. Kwa sababu waliambiwa no solution zaidi ya kumuondoa. Mwisho wa.siku wakaenda mkoani Lindi huko kuna mganga huwa anaua watu, jina.la.dhulmati au mchawi likipelekwa kwake.kama.leo basi kesho anazikwa. Wamama wa mjini Daslamu na Unguja wanamtumia sana kupora waume za watu. Huko ndipo walifanikiwa kumuondoa jamaa. Lakini amecha Sonona kubwa sana kwenye familia yao kwa kufyeka.karibu familia nzima.

Back TO KOSa la Mbowe.

Baba Mbowe, tarehe 7 September 2017 Lisu alipopigwa risasi he was almost a dead Man. Wewe ndio ulio pambana kufanya logistics zote ikapatikana ndege akaenda kutibiwa Nairobi kwa sababu kama angeplekwa hospitali ya Tz asingeweza kupona.

Pamoja na kwamba nia yako ilikuwa ni njema lakini katika ulimwengu wa roho ulifanya kosa moja kubwa sana bila kutarajia.

Uli interrupt mchakato wa universe. Labda universe ilikuwa ime panga Lissu aondoke tarehe hiyo probably hata yeye mwenyewe he resigned from his fate..

Adhabu ya ku interrupt mchakato wa universe ni universe kukuchapa wewe kwa kumtumia mtu yule yule ambae wewe ili interrupt kwa ajili yake.

Ndicho kinacho kutokea sasa hivi.

It is as if the universe is telling you " I was right and I am always right"

Lissu huyu huyu ulie jitoa kuokoa maisha yake ameshindwa kuwa loyal kwako.

Anashindana na wewe bosi wake.

Anatumika na adui zako kukuchafua na kukuchoresha.

Nadhani umepata somo kubwa sana kuhusu namna ulimwengu unavyo operate.

Universe inapotaka kumchukua mtu don't interrupt.

Hata kwenye Biblia Hezekia alikuwa amefika mwisho wa maisha yake lakini akamuomba Mungu extension of time..Mungu akamuongezea miaka mingine 15.

Biblia inasema katika miaka 15 ya ziada aliyo ishi Hezekia alifanya mambo mengi maovu kuliko Aliyo yafanya wakati akiishi miaka yake aliyo pangiwa na Mungu.

wakati mwingine watu wengine wanapo kufa ndio mipango hukamilika.

Mfano baada ya Mussa kufa ndio wana wa Israel waliweza my achieve mipango yao mikubwa.

Wali achieve zaidi ya mambo makubwa 20 ambayo hawa kuya achieve wakati Mussa alipokuwa hai.

" So the dead which he slew at his death were more than they which he slew in his life " JUDGES 16:30

# Lissu hana shukrani.
 
Niliwahi kuandika hapa Jf kwamba ndugu, jamaa au rafiki yako wa karibu akipatwa na jaribu/mtihani wa maisha utakao kuweka kwenye mstari mwembamba baina ya Kifo na mauti basi kabla haujachukua jukumu la kumsaidia ni vyema kwanza uombe kibali cha universe ikuruhusu umsaidie au lah kama haujui namna ya kucommunicate na universe ni bora umwambie Mungu " Mapenzi yako yatimizwe" kama Mungu umepanga mtu huyu aondoke basi wacha aondoke tu lakini kama umepanga asiondoke basi na iwe hivyo.

But ukijaribu kupambana na mapenzi ya Universe kwa kupambania uhai wa ndugu yako basi universe lazima itakuadhibu kwa kuingilia mchakato wake halali kabisa.

Experience inathibitisha hilo. Most of the time ndugu jamaa na marafiki wanao jaribu kuokoa uhai wa ndugu zao walio katika hatari ya kufa huwa wanakuwa punished heavily.

Mwaka 99, Ilala pale kuna jirani zetu mtoto wao kwanza wa kiume alikuwa anasoma UDSM aliigua ugonjwa usio julikana na alikuwa wa leo wa kesho. Ndugu zake wakampambana kweli kweli hadi kwa waganga mwisho wa siku jamaa akatapishwa vitu vya ajabu akapona akahairisha mwaka baadae akaendelea na chuo akamaliza...

Nimekuja mbio nikidhani unatulazimisha tusipeleke watoto wetu English Medium?
 
Wewe mpumbavu umeandika stori ndefu kumbe ulikuwa ukitaka kuongelea ishu ya Lissu na Mbowe?
 
Kwa hiyo na madaktari wakipokea wagonjwa mahututi ICU wasi kwa sababu universe imeamua?.Acha uongo we jamaa.

Kwa hiyo na madaktari wakipokea mgonjwa mahututi ICU wasiokoe maisha yake sababu ni universe imeamua? Acha uongo we jamaa.
 
Back
Top Bottom