Tuwe wakeli,Na tumsaide rais wetu.Leo siku ya wapendanao sijui mikoa mingine.Ila Dar kumekuwa kimya tofauti na miaka mingine kabisa.Ma bar yapo wazi,Gesti vibao vinasoma vyumba vipo.Si dadili nzuri kiuchumi.Watu wapo hoi hawana furaha mioyoni.Lazima rais afanyaje jambo sasa."Alegeze kidogo"La sivyo mateja,Majambazi yataongezeka kwa kasi."Hata ukimwi"
Alegeze nini?? au unadhani anafanya makusudi kubana uchumi!! Nisawasawa na baba yako yupo juu ya nguzo ya umeme anatengeneza kanaswa na umeme wewe unapiga kelele ukimwambia baba tengeneza haraka tuangalie TVTuwe wakeli,Na tumsaide rais wetu.Leo siku ya wapendanao sijui mikoa mingine.Ila Dar kumekuwa kimya tofauti na miaka mingine kabisa.Ma bar yapo wazi,Gesti vibao vinasoma vyumba vipo.Si dadili nzuri kiuchumi.Watu wapo hoi hawana furaha mioyoni.Lazima rais afanyaje jambo sasa."Alegeze kidogo"La sivyo mateja,Majambazi yataongezeka kwa kasi."Hata ukimwi"