Wakati huo huo mombasa zipo zaidi ya 50..zikipakua na kupakia mizigo..sasa wewe sijui unaongea nini..
Lazima zituhusu mana karibia robo 3 yake zilikua zinakuja bandari ya DSM..Sasa sisi waTanzania za Mombasa zinatusaidia nini? we are interested na hizi zinazokuja kwetu. Za Mombasa ni za Wakenya.
Wakati huo huo mombasa zipo zaidi ya 50..zikipakua na kupakia mizigo..sasa wewe sijui unaongea nini..
safi, kumbe mmekubali kwamba ilikuwa na hali mbaya siyo!!our port is now stabilizing