Leo nimepima HIV kwa mara ya kwanza tokea 2018

Nimesafiri umbali mrefu sana kwenda angaza kupima HIV na kwa bahati nzuri majibu yamekuja negative.

Hii ni hatua muhimu kwenye ya kuwa makini na kujilinda.

Asikwambie mtu kusubiri hayo majibu ndani ya hizo dk 5 siyo mchezo.
Wengine tushazoea hata hatuogopi tunapika anytime, nadhani ungekuwa positive usingekuja kutuelezea huku JF hongera jilinde acha kuuza mechi
 
Hayo hatari kuliko AIDS yanatajika kirahisi msibani(wasifu wa marehemu)

Hata mtu mwenye AIDS akifariki, sababu ya kifo itatajwa maradhiyaliyopelekea umauti kwa kuwa lazima upungufu wa kinga utasababisha maradhi kadha wa kadha...
 
Sijui kwanini huwa naona kupima ni kiherehere. Najua kitaalam tunapaswa kupima afya ila hapo hapo kuna kitu kinaniambia kuwa ni kiherehere na unachokitafuta utakipata ukiendelea.
 
Nimesafiri umbali mrefu sana kwenda angaza kupima HIV na kwa bahati nzuri majibu yamekuja negative.

Hii ni hatua muhimu kwenye ya kuwa makini na kujilinda.

Asikwambie mtu kusubiri hayo majibu ndani ya hizo dk 5 siyo mchezo.
Mimi nilipima mara ya kwanza 2006

Mara ya pili ni kupitia chalii aliyezaliwa


Nimeacha game za nje sasa

Ukimwi upo na unaua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…