Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,512
- 13,230
Mimi ni miongoni mwa vijana wa kitanzania wanaoshtua yaani kutumia kilevi ( pombe) ili kuchangamka Na kuongeza confidence, nilikuwa nikitumia pombe kwa kiasi kikubwa kesho yake Basi naamka Na huzuni au mapigo ya moyo muda mwingine yanakuwa yanapiga kwa Kasi sana..ukiniona huwezi kujua kama natumia pombe kwa sababu Nina afya njema Na ngozi yangu brown Ina Nuru Na hii ni kwa sababu nakunywa maji mengi Na kazi ninayoifanya sio ya kushinda juani...tiba ya hang anxiety ( mning'ionio wasiwasi) baada tu ya kutumia pombe...
( 1) Jitahidi mara tu baada ya kutumia pombe usinywe maji mengi Bali kunywa vinywaji kama juisi ya matunda ya embe au nanasi..
( 2) Usitumie au kuchanganya pombe Na vinywaji venye caffeine au nicotine mfano energy drink.
( 3) Baada tu kutumia pombe hasa Kali tenga muda wa kupumzika walau masaa matatu mpaka matano hii itafanya kuupa mwili pumziko pamoja Na ubongo..
(4) Fanya mazoezi ili mwili utoe jasho au tembea umbali mrefu...
(5) Jichanganye piga story Na watu usijifiche ndani au kulala sana kwa muda mrefu..