Introvert Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,892
- 6,388
Hatimaye nimetimiza safari yangu ngumu niliyoianza Jumapili Kwa jumla ya game 25 pesa niliyoshinda kwa ujumla ni milion 46 ukitoa Kodi ambayo imekatwa salio langu limebaki milioni 45 kwenye account
Asante Mungu kwa kuwapa wachezaji wa Simba afya njema mapambano yanaendelea. Milioni 45 zinaenda kuzaa mamilioni mengine mengi hii ndio kazi yangu jamani, sina kazi nyingine mjini hapa mnaoumia na pesa hizi endeleeni kuumia sababu napenda sana mnavyoumia hahahahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣