Leo ndiyo usiku wa tuzo za TFF kwa wanasoka waliofanya vizuri msimu wa 2023/2024

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Aug 29, 2022
370
956
Alhamis hii, Agosti Mosi katika ukumbi wa Super Dome, Masaki utakuwa usiku wa tuzo za TFF kwa wanasoka waliofanya vizuri msimu wa 2023/2024

ushindani mkubwa upo kwa Aziz Ki wa Yanga sc na Feisal wa Azam fc, maana hawa wachezaji wawili wameonyesha kiwango cha juu sana msimu uliopita.

Wote wawili wapo kinyaganyiro cha tuzo ya Mchezaji bora wa msimu (MVP),Kiungo bora wa msimu. Je ni nani kuondoka na tuzo hizo?

Soma pia: Tuzo Za Shirikisho La Mpira Wa Miguu Tanzania (TFF ) 2022/2023
 
Hazina msisimko ni kama vile unapasha kipolo
 
Mchezaji bora,kiungo bora na mfungaji bora ni Aziz K.Sema tu kibongobongo watu wataleta mapenzi na uzawa.
 
Mchezaji bora,kiungo bora na mfungaji bora ni Aziz K.Sema tu kibongobongo watu wataleta mapenzi na uzawa.
Kuna mchambuzi alisema Feisal anastahili kwakua amepitia misukosuko mingi, yaani Hajui iyo misukosuko ililetwa na Yusufu bakhresa.
Hajui kama Fei alipata Hat trick kwenye mechi na Tabora iliyokua na wachezaji Saba uwanjani.

Hajui kama Feisal amecheza michezo mi tatu zaidi ya Aziz k na Bado amezidiwa kwa Magoli na assist.
 
🪑
 
Hapo 5imba Guvu Moya anatafutiwa zawadi.
 
Fei apewe tuzo aiseee huyo azizi magoli yake mengi unaona kabisa timu pinzani kuna namna ilifanyika mpaka jamaa anafunga magoli ya wazi kabisa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…