Mjanja M1 JF-Expert Member Oct 7, 2018 4,058 14,373 Nov 26, 2024 #2 Alitumia nguvu kubwa san kulificha hilo jina, laiti kama vijana tungetumia nguvu kama za Aunt basi tungekuwa mbali kimaendeleo. KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Alitumia nguvu kubwa san kulificha hilo jina, laiti kama vijana tungetumia nguvu kama za Aunt basi tungekuwa mbali kimaendeleo. KaziKweliKweli/JobTrueTrue
tang'ana JF-Expert Member Apr 3, 2015 11,928 15,803 Nov 26, 2024 #4 So hii ina mchango gani kwa uchumi wa nchi?