TUNA IMANI NA MAMA SAMIA . View attachment 3103084SAMIA WETU KWA MAENDELEO . NASIMAMA NA MAMA .
Utabiri umetimia sio ule wa yule mwehu wa amphibiaKWa hasira alizonazo mnyama na matendo aliyofanyiwa kule Algeria, basi leo wale Tripoli wanagongwa vingi tu. Wagongwe bila nidhamu.
Sema yule Refa ni Mpuuzi sana, pamoja na yule mshika kibendera wake aliekataa goli. HongereniUmeona lakini waarabu walivyopigwa fimbo??
Utabiri umetimia sio ule wa yule mwehu wa amphobisKWa hasira alizonazo mnyama na matendo aliyofanyiwa kule Algeria, basi leo wale Tripoli wanagongwa vingi tu. Wagongwe bila nidhamu.
Huyu kibendera alikuwa anajaribu kuwapunguzuia jamaa maumivu lakini haikusaidia,alifanya makusudi kabisa.Ila kibendera bwana eti kanyosha sijui ilipewa bahasha.hii ilikuwa chuma ya tatu kihalari kabisa.
View attachment 3103689