Ulongupanjala JF-Expert Member Apr 9, 2013 8,189 13,423 Feb 16, 2017 #1 Wakuu heshima kwenu, Naomba kujua duka linalouza simu ya Lenovo S60, kwa hapa Tz na nitashukuru nikijua na bei yake pia. Asante.
Wakuu heshima kwenu, Naomba kujua duka linalouza simu ya Lenovo S60, kwa hapa Tz na nitashukuru nikijua na bei yake pia. Asante.
Ulongupanjala JF-Expert Member Apr 9, 2013 8,189 13,423 Feb 17, 2017 Thread starter #2 Duu inaonekana ni simu Mgeni hapa bongo? Maana ingekuwaTecho ningeshajua bei yake.!
Ulongupanjala JF-Expert Member Apr 9, 2013 8,189 13,423 Feb 17, 2017 Thread starter #4 Natokea Kanda Maalum said: Ingia jumia.com Click to expand... Hakuna hiyo simu mkuu!
Lusungo JF-Expert Member Jan 4, 2014 27,679 40,913 Feb 17, 2017 #5 Emilias G said: Hakuna hiyo simu mkuu! Click to expand... Hizo simu ni ngumu kuzipata hapa bongo.