Mtwara Smart
JF-Expert Member
- Jun 6, 2019
- 666
- 1,490
Habari zenu Wadau Wa Tech
Nimekaa Muda Mrefu Kutokana Na Changamoto Za Maisha Leo Nimeona Bora Nizungumze Na Kuwapa Tahadhari Wote Wanaomiliki Au Wanaopenda Kuja Kununua PC
Laptop Aina Ya Lenovo Ndio Inaongoza Kwa Kupata Hitilafu Katika Motherboard Kwa Reference Ya Data Zangu Za Mwaka Jana Na Mwaka Huu Mpaka Hivi Sasa Ambapo
Nilipata kazi Za Lenovo 134 Ambapo Kazi 103 Ni Motherboard Failures, Kati Ya Hizo Kazi 45 Ni Complete Failure Yaan Motherboard Zake Haziwez Kuwa Fixed (GPU FAILURE, S IO FAILURE & SEVERE BURN)
Motherboard Design Ya lenovo Ni Ya Kijinga Kuanzia Inrush Mosfet Mpaka 3.3 to 5v Distribution, Shida Kubwa Ni Main VCC 20V Kupata Access Ya Moja kwa moja Na S I/O.
Nimeandika Hili Kama Onyo Kwa Wote Watakaopenda Kununua PC Za Lenovo au Wamiliki Wawe makin
Muda Huu Nimetoka kufix lenovo Yenye Same Fault Short To Main VCC
Karibun Sana
Mtwara SmartView attachment 2112695View attachment 2112696
View attachment 2112694