Wakuu,
Lema anazidi kutema cheche kwenye mkutano wake na waandishi wa habari leo Januari 14, 2025, asema ukiona mtu anataka kununua uongozi akiwa mwenyekiti wa CHADEMA au kiongozi mwingine, kwa uongozi ambao hauna mshahara jua kuna mshahara analipwa kwaajili ya uongozi huo.
Aongeza kuwa kwenye upande wa upinzani ni kazi yenye hatari nyingi kwani unakuwa na maadui na watu wengi ikiwemo Rais, wabungem Usalama wa Taifa, Vyombo vya Usalama, nk, sasa mtu anatoaje hela kununua uadui na watu hawa?
Asema na wajumbe wakikubali hili basi kuna msingi wa CCM kuendelea kuwa madarakani. Asema tofauti yao na CCM isiwe rangi ya nguo bali matendo.