Lema naye alisema natoka Next Week alikata miezi mahabusu haya tumekusikia lemaAnaandika Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe Godbless J Lema
Kuna uwezakano wa Mayor/ wenzake kuwepo mahabusu mpaka wiki ijayo. Lakini kila mtu ajue atavuna anachopanda . Only time will tell.
Umeona, seriously iko siku ukweli utakuwa wazi na udhalimu utakoma; wadhalimu watatafuta pa kujificha na hapatakuwapo! Siku hiyo haiko mbali!Mungu awalaani wao na vizazi vyao.
Sijui tulidai uhuru wa nini!!!
Una laana wewe na serikali yako.Hili ni fundisho kwa wote wanaoingiza siasa kwenye misiba...yaani hata maiti hazijapoa watu wanataka kujichukulia umaarufu wa kisiasa.
Acha wakae hadi next week ili wajitambue
Rambirambi siku hizi ni nyara za taifa ukikutwa na rambirambi ni sawa na meno ya tembo
Una laana wewe na serikali yako.
Mlitaka na hizo rambirambi mkale.
Kasababisheni ajali nyingine mpate rambirambi.
Wakikaa hadi next week wewe utafaidika nini, ujinga?Hili ni fundisho kwa wote wanaoingiza siasa kwenye misiba...yaani hata maiti hazijapoa watu wanataka kujichukulia umaarufu wa kisiasa.
Acha wakae hadi next week ili wajitambue
Jingalao, hukukosea kujiita hivyo.Hili ni fundisho kwa wote wanaoingiza siasa kwenye misiba...yaani hata maiti hazijapoa watu wanataka kujichukulia umaarufu wa kisiasa.
Acha wakae hadi next week ili wajitambue
Mayor alikuwa anasimuliwa habari za mahabusu na lema sasa atayaona mwenyewe....
Kila amuombeaye ndugu yake MABAYA anajitenga na rehema za mwenyezi Mungu,Hili ni fundisho kwa wote wanaoingiza siasa kwenye misiba...yaani hata maiti hazijapoa watu wanataka kujichukulia umaarufu wa kisiasa.
Acha wakae hadi next week ili wajitambue