Lema: Kuna uwezakano wa Mayor/ wenzake kuwepo mahabusu mpaka wiki ijayo. Lakini kila mtu ajue

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,279
Anaandika Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe Godbless J Lema
Kuna uwezakano wa Mayor/ wenzake kuwepo mahabusu mpaka wiki ijayo. Lakini kila mtu ajue atavuna anachopanda . Only time will tell.

My take =
Mmekula rambirambi mmeona haitoshi mmewakamata na watoa rambirambi na kuzuia dhamana zao ni haki yao kisheria

Hakika huu ndio "UONGOZI UNAOACHA ALAMA."
 
Hivi mtoto akikosea lawama si kwa mzazi wake?
Mh.Rais hatupendezwi na baadhi ya mambo unayoyaendekeza,siasa uchwara zinazominya umoja wa kitaifa. Tatizo nini ? Au ndio kufuata nyayo za Rwanda kama inavyobashiriwa? Upendo wa Kitanzania udumishwe pasi na kuendekeza siasa za kudhulumiana
 
Hili ni fundisho kwa wote wanaoingiza siasa kwenye misiba...yaani hata maiti hazijapoa watu wanataka kujichukulia umaarufu wa kisiasa.

Acha wakae hadi next week ili wajitambue
Wakikaa hadi next week wewe utafaidika nini, ujinga?

Post za kijinga namna hii ndizo zinazozalisha magaidi kama ya Kibiti.

Unavyofurahia mwenzako kupata matatizo hauna tofauti na wale wanaofurahia mauaji ya viongozi wa CCM Kibiti.
 
Inasikitisha na kuhuzunisha sana Watu tumepoteza watoto na hata hatujamaliza msiba siku 40....then kuna mijitu kwa Maslahi Yao binafsi wanaingiza mambo ya SIASA!!!!!!!!! SERIOUSLY!!!!?????
 
Tatizo nini....?
Hamna dhamana au wadhamini...?
Bado wanaendelea kuhojiwa....?

Hebu tueleze bwana Francis12.....maana binafsi naona ni kama imposible watu hao kushikiliwa mda wote huo.
 
Back
Top Bottom