yaani leo tusingelaladah kheri mana wale arsenal wangechukua ubingwa sijui ingekuaje huku mitaani
bahati nzuri dua baya limekubalika.yaani leo tusingelala
WENZIO TULIJUA TOKA LIGI ILIPOKUWA INAANZA NGOJA NKACHUKUE MPUNGA WANGU NILIMBETIA KING POWER KAMA ANABEBA NDOO.
Hivi bado mechi 2 ama 3?niweke sawa hapo maana jumla ya timu zipo 20 na kila timu inatakiwa icheze mechi ngapi?Baada ya Spurs kwenda sare ya 2-2 na Chelsea ugenini,Klabu ya Leicester City imetwaa ubingwa wa soka wa Uingereza. Kwa michezo miwili iliyobaki kwa Leicester na Spurs,Spurs hawataweza kufikia alama za LC.
Pongezi kwa Meneja Ranieri na kikosi chake chote cha Leicester City!