Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,315
- 13,300
Nakuungaaa Mkono MkuuuNachukua fursa hii kusema yafuatayo kuhusu Rais Mstaafu Awamu ya 4 Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete.
1. Aliishi Katiba na Demokrasia kwa vitendo.
2. Alistawisha demokrasia ya vyama vingi.
3. Aliamini katika checks and balances mahakama na bunge vilikuwa huru.
4. Aliboresha mishshara ya watumishi wa umma kuliko awamu zote na itakuwa hivyo milele na milele hakuna kama Kikwete.
5. Aliishi cheo cha Urais kwa Busara, Hekima, Ukomavu, Usikivu, na utulivu.
6. Alijua kutukanwa, kejeli dhidi yake si chochote na hapungukiwi kitu.
7. Alikuwa ni Rais ambaye aliheshimu wasaidizi wake.
8. Alifahamu na anafahamu katika nchi Siasa na Demokrasia sio Uadui.
9. Ni Rais ambaye aliamini katika uwezo na ushauri wa wasaidizi wake.
10. Awamu yake Bunge lilikuwa bunge kweli na Uhuru wa Mahakama tulishuhudia rufaa kadhaa za kutengua ushindi wa wabunge wa CCM.
11. Awamu ya 4 ndio wakati ambao Tanzania ilikuwa nchi ya multiparty democracy, good governance, na katiba ikiheshimika.
12. Hakuwa Rais aina ya Mfalme na hakuvimba kuwa Rais wa nchi.
13. Utawala wa Kikwete uliishi bayana mipaka ya Serikali, Bunge na Mahakama.
14. Alidumisha heshima ya Tanzania kama peaceful and diplomatic state
Kwa dhati ya moyo wangu namshukuru kwa hayo namuombea maisha marefu sana.
Nukuu ya siku "Asiyesikia la Mkuu huvunjika Guu"
Wadiz
Umesahau burigi ni mbuga ya wanyama ilioanzishwa kwakusafirisha wanyama kwenye malori kutoka mbuga nyingine eti kwasababu tu mh raisi huko ni nyumbani kwake.Umesahau kuwa gesi yetu iluzwa Kwa wageni kipindi chake na Katiba mpya ilivurugwa upatikanaji wake akiwa Rais.
Kama kipimo cha Kikwete nu utawala wa Magufuli, basi Kikwete utamuona bora sana. Lakini kama ni utawala bora kwa maana ya ubora, ni ww kawaida sana.Nachukua fursa hii kusema yafuatayo kuhusu Rais Mstaafu Awamu ya 4 Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete.
1. Aliishi Katiba na Demokrasia kwa vitendo.
2. Alistawisha demokrasia ya vyama vingi.
3. Aliamini katika checks and balances mahakama na bunge vilikuwa huru.
4. Aliboresha mishshara ya watumishi wa umma kuliko awamu zote na itakuwa hivyo milele na milele hakuna kama Kikwete.
5. Aliishi cheo cha Urais kwa Busara, Hekima, Ukomavu, Usikivu, na utulivu.
6. Alijua kutukanwa, kejeli dhidi yake si chochote na hapungukiwi kitu.
7. Alikuwa ni Rais ambaye aliheshimu wasaidizi wake.
8. Alifahamu na anafahamu katika nchi Siasa na Demokrasia sio Uadui.
9. Ni Rais ambaye aliamini katika uwezo na ushauri wa wasaidizi wake.
10. Awamu yake Bunge lilikuwa bunge kweli na Uhuru wa Mahakama tulishuhudia rufaa kadhaa za kutengua ushindi wa wabunge wa CCM.
11. Awamu ya 4 ndio wakati ambao Tanzania ilikuwa nchi ya multiparty democracy, good governance, na katiba ikiheshimika.
12. Hakuwa Rais aina ya Mfalme na hakuvimba kuwa Rais wa nchi.
13. Utawala wa Kikwete uliishi bayana mipaka ya Serikali, Bunge na Mahakama.
14. Alidumisha heshima ya Tanzania kama peaceful and diplomatic state
Kwa dhati ya moyo wangu namshukuru kwa hayo namuombea maisha marefu sana.
Nukuu ya siku "Asiyesikia la Mkuu huvunjika Guu"
Wadiz
Umenena vyema,Umesahau burigi ni mbuga ya wanyama ilioanzishwa kwakusafirisha wanyama kwenye malori kutoka mbuga nyingine eti kwasababu tu mh raisi huko ni nyumbani kwake.
Nakuonea huruma,utawala ule watu walipiga sana pesa'tunawajua',uminywaji wa habari ulificha mengi.Umenena vyema,
Hayakiwa maamuzi sahihi kuhamishia wanyama wetu Burigi na Uarabuni.
Usisahau pia kuwa, Twiga alipanda ndege Awamu ya nne hiyo hiyo.
ip mwangosi,Nachukua fursa hii kusema yafuatayo kuhusu Rais Mstaafu Awamu ya 4 Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete.
1. Aliishi Katiba na Demokrasia kwa vitendo.
2. Alistawisha demokrasia ya vyama vingi.
3. Aliamini katika checks and balances mahakama na bunge vilikuwa huru.
4. Aliboresha mishshara ya watumishi wa umma kuliko awamu zote na itakuwa hivyo milele na milele hakuna kama Kikwete.
5. Aliishi cheo cha Urais kwa Busara, Hekima, Ukomavu, Usikivu, na utulivu.
6. Alijua kutukanwa, kejeli dhidi yake si chochote na hapungukiwi kitu.
7. Alikuwa ni Rais ambaye aliheshimu wasaidizi wake.
8. Alifahamu na anafahamu katika nchi Siasa na Demokrasia sio Uadui.
9. Ni Rais ambaye aliamini katika uwezo na ushauri wa wasaidizi wake.
10. Awamu yake Bunge lilikuwa bunge kweli na Uhuru wa Mahakama tulishuhudia rufaa kadhaa za kutengua ushindi wa wabunge wa CCM.
11. Awamu ya 4 ndio wakati ambao Tanzania ilikuwa nchi ya multiparty democracy, good governance, na katiba ikiheshimika.
12. Hakuwa Rais aina ya Mfalme na hakuvimba kuwa Rais wa nchi.
13. Utawala wa Kikwete uliishi bayana mipaka ya Serikali, Bunge na Mahakama.
14. Alidumisha heshima ya Tanzania kama peaceful and diplomatic state
Kwa dhati ya moyo wangu namshukuru kwa hayo namuombea maisha marefu sana.
Nukuu ya siku "Asiyesikia la Mkuu huvunjika Guu"
Wadiz
Jikite kwenye mada 🙏Nakuonea huruma,utawala ule watu walipiga sana pesa'tunawajua',uminywaji wa habari ulificha mengi.
Huyu mtu kafanya mengi kwa mikopo fuatilia deni la taifa aliloacha JK na baada ya kifo chake.
Huyu mtu kabana matumizi kwa kuumiza watu,hakuajiri wala kuongeza mishahara kwasababu ya yale mnayomsifia,
Aliamini hakuna mwenye akili nchi hii kama yeye,huu ni wendawazimu.
Alichofanya kisihesabike ujinga kwa waliomtangulia.
~Alijitahidi sana kwenye swala la utawala bora, kitu ambacho Magufuli na Samia kime/liwashinda, kitu ambacho Ben alikipatia sana.
~Alikosea sana kwenye swala la kulinda rasilimali za nchi, alikuwa mfujaji sana, sawa na mwenzake Sa100, kitu ambacho Magu alikipatia sana.
Unazidi kunikumbusha kuwa Awamu ya nne ndiyo ilimuibua RC wa Arusha baada ya kumpiga Mzee Warioba!!Umesahau burigi ni mbuga ya wanyama ilioanzishwa kwakusafirisha wanyama kwenye malori kutoka mbuga nyingine eti kwasababu tu mh raisi huko ni nyumbani kwake.