Left ventricular hypertrophy inatibikaje

Habar wakuu naomba kuuliza hivi left ventricular hypertrophy inatibikaje
Jitahidi uonane na Cardiologist yeye atajua ni sababu gani za kutanuka kwa moyo chemba ya kushoto kisha upatiwe matibabu kulingana na kisababishi.


Pole
 
Back
Top Bottom