Le Mutuz TV inaendeshwa na nani?

Panzi Mbishi

JF-Expert Member
Mar 8, 2021
2,186
2,829
Wakubwa salaam,

Mimi si mpenzi wa mtandao wa insta ila mara chache huwa napita huko. Kinachonishangaza ni activesness ya akaunti ya Le Mutuz Tv.

Nimekuwa nikijiuliza ilikuwa akaunti binafsi au ya ofisi? Inaendeshwa na nani?

Kufuatia maswali hayo nikashawishika kuja kuuliza huku najua hakuna mnachoshindwa kufahamu.

Asante.
Screenshot_20230829-211426_1.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom