Lazima kusoma degree?

ngaronaro

Senior Member
Sep 15, 2013
124
20
Niaje wanajanvi

Kumekuwa na tabia ya vijana wengi hapa Tanzania kupenda kusomea shahada au degree yeyote ilimradi nae yupo chuo kikuu.

Hili limekuwa tatzo huku mtaani kwani vijana wamekuwa wakiangaika bila kujua wafanye nini maana ajira hawana wala kujiajiri hawawezi mfano.mtu kasoma PCM advance na kapata div iii ya 15 achana na GPA za kichina badala aende hata Diploma zenye ajira na umuhimu mkubwa kwa watanzania kama Clincal Officer, Laboratory Technician na nyinginezo nyingi.

Badilikeni vijana acheni ulimbukeni wa degree maisha popote!

NI HAYO TU!
 
Maisha ni Ramani tu kama ramani zinasoma ktk Environment science basi acha mtu aende, ww mtoto wa mkulima kimbilia Afya,Ualimu na engineering , Watoto wa mabosi waachie law,political science, Baf na zinginezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…