law technicalities: Kesi ya Boniface Jacob- Kutoka Fatma Karume on - Framing a charge, if this is to be the way You will never WIN!

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
44,212
82,351
Fatma Karume anasema:

Naomba kumuuliza DPP aliye-approve hii CHARGE SHEET. Kesi yako ni Boni anasambaza UONGO kwa kusema Mafwele anatuhumiwa kupoteza watu ma familia nyingi! Wewe ndie mwenye BURDEN of proof. Can you prove a NEGATIVE beyond reasonable doubt?

To make it easy for you DPP: Unaweza ku-prove beyond reasonable doubt kuwa Mafwele hatuhumiwa na familia nyingi kuwa anateka watu kwa hivyo Boni ni MUONGO na anasambaza UONGO?

Maybe in Kisutu!!

Nilikwambia huwezi kushinda kesi ya Mbowe na hii hapa umeshashashindwa kwa ulivyo-draft hio Charge Sheet.
1726933298646.jpeg

Fatma uko sahihi kabisa, the issue is pale kisutu kuna hakimu wa kuyaona makosa haya? Tha is my worries!
 
Kwanza kingereza chako ni takataka,, legalese ikipigwa hapa utaambulia kweli
 
"in a computer system namely X account( formerly known as twitter)!!!!!🙄😂🤣
X ( twitter) ni computer system au ni social media platform!!
Hawa kweli ni haki wawe na D mbili!!
 
Back
Top Bottom