Latin America Music (Charanga)

dekitambi

JF-Expert Member
Oct 5, 2015
663
761
Hodi hodi humu ndani,

Jamani mimi binafsi ni mpenzi sana wa music hasa hasa mziki aina ya charanga, kunakipindi flani TBC walikuwa wanarusha kipindi cha mashindano ya kudance TIKISA washiriki popular walikuwa ni Chenge, Witness, More love, Baucha na wengineo.

Lengo la kufungua hii thread naomba tushee jamani kwa yeyote anaye fahamu ngoma kali za charanga tafadhari tupia jina la nyimbo na msanii husika.

Pia ukiweza weka hata video yake
 

Africando ft koffi olomide-MOPAO

 


 

 

 


 
Mwaka 1974 Muhammad Ali alipopigana na George Foreman kule Kinshasa hawa jamaa walifanya curtain raising kabla ya ndoni zile uwanja wa Kamanyola

mkuu ewaaa ahsante sana... ila kunakawimbo kamoja simjui msanii wake but I can gues jinsi wanavyo imba japo kuwa siijui hiyo lugha ..wimbo unasikika hivi ..sisenyo ntantantaaaaa amorooo komolo mpampaaa hayaweehayaweeee mpampampaaaa komolo komolooi..hata TBC walikuwa wanakatumia kwenye tangazo lao la kipindi cha serebuka tafadhari mkuu kama unakajua katupie humu ndani pia yeyote mwingine anayeweza kuujua huo wimbo atusaidie
 

Kama sikosei aliimba GLORIA ESTEFAN
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…