king mjuni
Member
- Oct 11, 2014
- 93
- 15
Nahitaji laptop used aina kati ya hp, dell, lenovo na toshiba yenye hard disk kuanzia gb250 kwenda juu,,, ofa yangu ni sh 250,000 napatikana kwa namba 0779575664 nipo dsm
Nipo KariakooUko wapi ?
Weka picha ?
SwahiliKariakoo ipi ?
Machinga Complex ?
250000
Betry la kubadilisha halikai na chargeIna tatizo gani
Bettry masaa
So ukitoa 70K ya bettry unauza 180,000 kabla ya maongezi.Betry la kubadilisha halikai na charge
hilo battery jipya elf 40 sio 70So ukitoa 70K ya bettry unauza 180,000 kabla ya maongezi.
KaribuNahitaji laptop used aina kati ya hp, dell, lenovo na toshiba yenye hard disk kuanzia gb250 kwenda juu,,, ofa yangu ni sh 250,000 napatikana kwa namba 0779575664 nipo dsm