vicentkisenya Member Nov 11, 2015 25 5 Mar 21, 2017 #1 NA nimejaribu kuweka Vga cable ili ni display kwenye anaza monitor imegoma plz nisaidien nn tatizo
muvika online JF-Expert Member Nov 27, 2016 374 283 Mar 21, 2017 #2 Kuna Kifaa Kimeungua Peleka Kwa Fundi
kigongoi JF-Expert Member Apr 21, 2015 430 191 Mar 21, 2017 #4 Mie laptop yangu haikubali password na INA andika user profile cannot be loaded
Joselela JF-Expert Member Jan 24, 2017 5,919 7,624 Mar 21, 2017 #7 kigongoi said: Mie laptop yangu haikubali password na INA andika user profile cannot be loaded Click to expand... Cheza na registry file au tumia password recover au piga chini hio os au boot na cd au flash ya os!!
kigongoi said: Mie laptop yangu haikubali password na INA andika user profile cannot be loaded Click to expand... Cheza na registry file au tumia password recover au piga chini hio os au boot na cd au flash ya os!!
ramani Member Oct 1, 2013 61 11 Mar 21, 2017 #9 vicentkisenya said: NA nimejaribu kuweka Vga cable ili ni display kwenye anaza monitor imegoma plz nisaidien nn tatizo Click to expand... Hata yangu ilikuwa hivyo baada ya kushauriwa nifute vumbi kwenye RAM,kwa sasa ina display
vicentkisenya said: NA nimejaribu kuweka Vga cable ili ni display kwenye anaza monitor imegoma plz nisaidien nn tatizo Click to expand... Hata yangu ilikuwa hivyo baada ya kushauriwa nifute vumbi kwenye RAM,kwa sasa ina display
vicentkisenya Member Nov 11, 2015 25 5 Mar 21, 2017 Thread starter #10 Ok nimefanya yote ayo lakin bado
Ocean Media Member Dec 16, 2015 93 82 Mar 21, 2017 #11 Ndugu weka ram vizur au badilisha ram itakua imekufa
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 31,346 41,701 Mar 22, 2017 #12 pengine ni Tatizo la graphics, unahisi kabisa feni linazunguka? au inawaka taa tu.