naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,766
- 2,423
wakuu poleni na majukum, nina laptop yangu aina ya asus, inatumia window 8 nipo najaribu kubadili window lakini kila nikiwasha computer ili nibinyeze f12 inagoma inawaka moja kwa moja, na nikinonyeza f1 na f2 pia mimejaribu kubonyeza pia inagoma inawaka moja kwa moja yaan hailet yale maelezo ya kuplace any key to boot cd room, msaada tafadhal