Laptop mpya inauzwa 550,000/=

LUCIFER

Senior Member
Aug 14, 2012
183
88
Wakuu hii laptop nimenunua last month mpya na accessories zote pamoja na bag na Warranty ya mwaka mmoja.
HP
Processor: Intel (R) CPU N3060 @ 1.60GHz
RAM: 4 GB
WINDOWS 10

bei ni fixed haipungui sababu nimeshusha zaidi ya laki kutoka actual price niliyonunulia mwezi uliopita , serious buyer ani pm Nipo Dar

 
Iko na nyingine kama hiyo haina wiki 1 kama unataka 530k...kwa mahitaji ni pm
 
MKUU,SIJAJUA NI KWA NINI UMEINUNUA UMEKAA NAYO MWEZI MMOJA TU NA KUAMUA KUIUZA KWA BEI RAHISI KIASI HICHO...AU UMEGUNDUA INA TATIZO GANI ? AU WALIKUBAMBIKA "REJECT "ULIPOINUNUA ?
 
MKUU,SIJAJUA NI KWA NINI UMEINUNUA UMEKAA NAYO MWEZI MMOJA TU NA KUAMUA KUIUZA KWA BEI RAHISI KIASI HICHO...AU UMEGUNDUA INA TATIZO GANI ? AU WALIKUBAMBIKA "REJECT "ULIPOINUNUA ?
Kaka ni mpya kabisa na Warranty ya mwaka mmoja na risiti niliyonunulia ipo, kifupi nilimnunulia shemeji yako kasema yeye anataka ndogo na simple, so I have to dispose this one
 
Siku nyingine uwe unamuuliza kwanza anachokitaka... acha kuiga masapraiz ya wazungu yataku cost..
Mi nilijua nikimuuliza angenicost... Si unajua wanpenda vya bei.. Na hii hali ya uchumi.. Ndo utajuwa why nilinunua bila kum consult
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…