Laptop HP Corei5 inauzwa

jameson567

JF-Expert Member
Mar 14, 2018
522
3,239
Nauza laptop HP ProBook 650 G3, Ina RAM 8Gb, hardDisk 128 SSD, Screen size 15.6 haina Scratch. Inakaa na charge masaa 4. Ina windows 10 Pro. Bei na laki 4(400,000)maongezi yapo. Ninapatikana Mwenge - DSM. Nicheki 0655113290. Nimeambatanisha na picha.
IMG_20230912_070811_091.jpg
IMG_20230912_070728_479.jpg
IMG_20230912_070711_506.jpg
IMG_20230912_070705_731.jpg
 
Mkuu na mimi naomba kuongezea kuwa 7th Gneration Pc tena ya Corei7 au wanaiita koby lake ...ungeongeza kidogo bei hata 450 na kuendelea Maana dukani zinafika mpaka 850 mpka mil
 
Mkuu upo sahihi ila wakati mwingine bei inategemea na namna mtu alivyopata kitu na uharaka wa pesa, tangu juzi mpaka dakika hii hata hiyo 400 niliyosema hakuna aliyenicheki Whatsapp wala kunipigia. Kwahiyo bei
ya kitu yaweza kuwa chini bado watu wakawa hawana ela. Lakini nashukuru kwa ushauri mkuu.
 
Mkuu mte utampata tu, tangaza pia kwenye WhatsApp groups
Usiuze chini ya mia nne
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom