Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 500
- 1,194
Tamasha la Land Rover limefanyika kwa mara ya kwanza nchini Tanzania mkoani Arusha leo 12 Oktoba 2024.
Arusha ni kitovu cha utalii Afrika Mashariki zaidi ya magari 1,000 ya Land Rover yamehudhuria tamasha hilo, huku zaidi ya watu 2,000 wakikuhudhuria ufunguzi na kushiriki tukio hilo.
Guinness World Record iliyowekwa na Ujerumani kwa kuwa na msafara mkubwa zaidi wa magari ya Land Rover. Rekodi ya sasa ilivunjwa huko Bavaria, Ujerumani mnamo Agosti 2018, ambapo magari 632 ya Land Rover yalishiriki kwenye msafara huo.
Soma Pia:

- Land Rover Festive Arusha 2024
- Arusha: Tazama balaa la msafara mrefu wa magari ya LandRoverFestival2024