BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,803
Ripoti ya Takwimu za Mawasiliano iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa robo ya mwaka 2024, imeonesha katika kipindi cha Januari hadi Machi 2024 kulikuwa na ongezeko la Usajiili wa Laini za Simu kwa 1.3%
Mtandao wa Vodacom unaendelea kuongoza kwa idadi kubwa ya Watumiaji wa Laini zake wanaofikia 30.5% ukifuatiwa na TiGO 28%, Airtel 26.4%, Halotel 12.8% na TTCL 2.3%
Laini za Simu Zilizosajiliwa kulingana na Mtandao wa Simu
Vodacom - 22,629,341
TiGO - 20,300,451
Airtel - 19,465,353
Halotel - 9,354,092
TTCL - 1,676,541