Lady haaaa ebu tuambie hadhira yako ni ipi

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
4,611
9,814
Miye na swali kwa uyu mdada mwenye kipindi katika siku ya juma mosi katika tv ya clouds

Swali langu naitaji aje atuambie anapoandaa kipindi huwa analenga tabaka lipi katika jamii watizame kipindi chake maana miye nimeshindwa ng'amua Kutokana na lugha anayoitumia kuwakilisha ujumbe wake kwani haieleweki anatumia lugha ipi

Kwani amekuwa akichanganya ndimi na kuhamisha ndimi mwanzo mpaka mwisho wa kipindi code switching na code mixing kibao yani swahili English yani mpaka unajiuliza hivi uyu anataka hiki kipindi kiangaliwe na nani mtu mwenye kujua hizo code mixing na switching au mtanzania wa kawaida anayejua kiswahili tu simuelewi

My take
Amua kama unatumia kiswahili basi ongea kiswahili tu kama kingereza ongea kingereza tu pia utambue uko katika jamii zetu wanaotazama hivi local channel zetu asilimia kubwa ni waswahili wanaongea kiswahili si wajuaji wa kingereza au swahili English hivyo basi ukiendelea na hizo code switching na code mixing zako tambua watu wanabadili chanel maana hawakuelewi mzungu au mtz
 
ktk redio na tv zenye watangazaji makanjanja ni clouds na ndio radio na tv zinazoongoza kwa kubomoa maadili ya vijana Tanzania
 
ktk redio na tv zenye watangazaji makanjanja ni clouds na ndio radio na tv zinazoongoza kwa kubomoa maadili ya vijana Tanzania
Wabongo hapo ndo mnanishoshaga.heti mnaiponda clouds wakati nyie ndo wakwanza kuangalia kila nukta ya kipindi.kama unaboleka si uangalie tv nyingine.mwewe huyooo! Anaenda zake
 
Wabongo hapo ndo mnanishoshaga.heti mnaiponda clouds wakati nyie ndo wakwanza kuangalia kila nukta ya kipindi.kama unaboleka si uangalie tv nyingine.mwewe huyooo! Anaenda zake
sasa umejuaje kama mm naangalia hyo station ktk tv mbili cziangaliii na nimezifunga kwenye kisimbusi changu ni clouds na TBC one
 
Kaka this is the worldvof globalisation kama vijana wav kitanzania hawana busara acha waendelee kuharibika kama hawawezi kuchambua kipi kinafaa na kipi hakifai
 
Poleni. Mimi clouds tv n redio yake sivifatilii hawana ata maana. Habari ITV vipind vngne eatv n redio earadio.
 
clouds tv ipo dstv sikuhizi kama ww hukipendi watakipenda wakenya na nchi zingine.. roho mbaya tu kama mavi
 
Mtu mweusi hapa tunaongelea weredi katika Kazi na hili ndio tatizo letu sisi watu weusi mimi na wewe hauitaji changamoto katika Kazi zetu hivi unadhani hiyo clouds tv hata kama ipo dstv unafikilia watazamaji wake uko unaposema ni watu wanaojua zaidi lugha gani tambua wengi wao ni wazungumzaji wa kiswahili kwani clouds tv inatumia lugha ya kiswahili kutangaza matangazo yao kitu kingine utambue hao Wakenya nk unaowasema nao hatujui wanaongea lugha ipi kwa ufasa maana mkenya akianza ongea kingereza galfa utasikia kuongea kiswahili akianza ongea kingereza galfa ataanza kuongea kiswahili so usipanic na lengo la huu uzi si kumsema vibaya ila ajirekebishe OTE="mtumweusi, post: 16801669, member: 343564"]clouds tv ipo dstv sikuhizi kama ww hukipendi watakipenda wakenya na nchi zingine.. roho mbaya tu kama mavi[/QUOTE]
Mtu
 
Yuko sawa! i think wamewatarget watu wanaojua kiingereza zaidi ambao wanangependa kupata celebrity news za kibongo na afrika kwa ujumla japo anatupia na kiswahili na watz wamuelewe. ndomana kuna clouds e na africa wired (clouds e shadee anaongea kiswahili pekee) na shows zote zinazungumzia celebrity news.

Lady Haha kama unasoma comment hii basi endelea hivo hivo kumix lugha japo utumie english zaidi ili watu kama wanaija na nchi nyingine waweze kuelewa habari za mastar wetu zinaendeleaje. Kwa anayetaka kwa kiswahili basi aangalie clouds E
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…