Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,728
- 10,806
Hii ngoma video imetoka jana, itoshe kusema ni matata sana japo imekaa kishetani shetani ila hii ndio miondoko ya Pop original sasa.
Lady Gaga yule wa 2009 - 2013 naona karudi japo uzee unamsogelea ila lile vibe halizeeki kamwe, muangalie hapa
View: https://m.youtube.com/watch?v=vBynw9Isr28&pp=ygULYWJyYWNhZGFicmE%3D