ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,319
- 50,533
We are going dar together hakuna kuchanganyana. Wa mikoani tunajisifu tunajua Dar yote kumbe hata Yombo hujafika kila mtu ana action zake kazifanya Dar ila mimi napafahamu sana Kimara tena njia ya kutoka Korogwe kwenda Maji Chumvi to Tabata Kimanga to Bima to Magengeni to Segerea via Barakuda.
Halafu na Ubungo yake plus Mbezi Beach over na Posta, Kariakoo na Muhimbili pengine me napita tu labda Kitunda tena.
Dar bwana pazuri ndugu zanguni tuache masihara Dar mitambo kibao I wish ingekuwaga kwetu Dar bahati mbaya sana najikuta shamba dah.
Mikoani huku mambo yanachekesha kinyama mixer mitihani kiba. Mitaa yako ipi yenye usalama ukiingia Dar ewe mkazi wa Tabora, Tanga, Simiyu, Rukwa, Kigoma, Pwani, Singida, Kilimanjaro, Mwanza.