Kwenye msafara wa mamba....!

Huu udhalilishaji huu, unless unaruhusa ya matumizi ya picha yake!
 
Inawezekana yeye ndiyo yupo uweponi haswaa kuliko hao waliofumba macho.

Mungu haitwi kwa makelele au kuonyesha uso wa namna furani. Yeye huuangalia moyo.

1Samwel 1
Utakutana na kuhani anaitwa Eli, huyu alimzania Hana kuwa kalewa kwa sababu tu alimuona midomo yake kama inanena lakini maneno hayasikiki.

Kuna nyakati mtu anazungumza na Mungu hata katikati ya soko na watu wengine wasinotice hicho kitu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…