Watu mnampa tu umuhimu lisu, lisu hawezi tamba mbele ya samia mwakani na uchaguzi utakua na maneno mengi mitandaoni kuliko kura zenyewe,
wengi wanafata mwambao wa X, kule kuna vijana wachache sana au account chache sana hazizidi hata mia, ila zikianza kelele, show yake, X yte inafunga unawaona wao tu, wanarepost na kulike, ndio maana huoni upuuzi huo insta ua facebook. Huko utaendelea kuona feed za matako ya wanawake na matangazo ya biashara.
Apite mbowe apite lisu, hakuna kitu kwa samiah.