Kwenye Boksi la Kura, aliyemuweza Lissu ni Magufuli na hawa ndio walikuwa kwenye Mzani Sawa

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
27,499
66,126
Hamjamboni wote!

Magufuli ndiye mtu pekee ambaye alimpiga Lisu home and away. Yaani mtandaoni na kwenye Boksi la Kura.

Kwa Sisi Watibeli wasema Kweli yote, tunasema Kiboko ya Lisu likuwa JPM kwenye suala la kupiga Kura
Lakini Kiboko ya JPM alikuwa ni Lisu kwa upande wa siasa za majukwaani.
Hii ni kusema Lisu na JPM ndio walitoshana kwa kiwango kikubwa.

Kwa sababu kitabia walikuwa wanafanana, tofauti ndogo iliyopo ni kuwa JPM hakuwa muumini wa kufuata Sana sheria na mambo ya demokrasia.
Ila mambo mengine wanafanana.

Sasa kwenye uchaguzi huu uliowakutanisha Mbowe na Lisu.
Wote tumashahidi kuwa Mpaka dakika hii Lisu anaongoza kwa Kura za mitandaoni kwa zaidi ya asilimia 80% huku mshindani wake Mbowe akiwa chini Sana.

Dalili zinaonyesha Lisu atamshinda Mbowe kwa kishindo.
Ikiwa hili litatokea Lisu atakuwa amempiga Mbowe Home and away.

Mambo yamewaka!

Kwako johnthebaptist
 
Uchaguzi haukuwa huru na wa haki
 
Huo hautakuwa uchaguzi bali uchafuzi na Mbowe ameshashinda akisaidiwa na COVID 19 😄🔥
 
Dogo nasikitika sana. Wewe bado kijana mdogo miaka 25 tu lakini cha ajabu una kuta dume zima miaka 50 na zaidi huko anaambatana na mke wake kuja ofisini kwako kuwashauri maswala ya ndoa. Yani inaniuma kichizi. Halafu siyo mmoja tu ni wengi
 
..Jpm alijiaibisha ktk uchaguzi wa 2020.

..badala ya kucheza fair aliamua kuharibu uchaguzi wote.

..uwezo wa kushinda kihalali alikuwa anao, lakini kwasababu ya mawenge akaamua kubutua uchaguzi.
 
Dogo nasikitika sana. Wewe bado kijana mdogo miaka 25 tu lakini cha ajabu una kuta dume zima miaka 50 na zaidi huko anaambatana na mke wake kuja ofisini kwako kuwashauri maswala ya ndoa. Yani inaniuma kichizi. Halafu siyo mmoja tu ni wengi
Mbona hueleweki sasa?😁😁
 
Magufuli nihabari nyingine bro, usimlinganishe na vitu vya kawaida.

Mapaka sasaivi ndani ya CCM na Chadema kunawatu wanaogopa jinalake.

Wanaomtajataja kwa ubaya wanahofu mioyonimwao kwasababu wanajua reaction za wananchi dhidi ya raisiwao wa mfano mzuri kuwahi kutoka.

Nahuo ndio ukweli.
 
Back
Top Bottom