Kweli Wananchi Wamechafukwa. Soma!

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
14,601
23,890
Picha chini ni spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, tarehe 11 Novemba, 2023 ameshiriki matembezi ya Jeshi la Polisi yenye lengo la kumpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)

(Mimi naona wanakimbia hawa)

20231111_233439.jpg
 
Sasa basi kitu kinachopelekea kusema wananchi Wamechafukwa ni aina ya majibu kuhusiana na hicho alichofanya huyo supika.

Njoo telegram, ooh sorry ingia kwenye ukurasa wa X wa Bunge Tanzania, soma replies, kisha rudi hapa tujadiri.
 
Picha chini ni spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, tarehe 11 Novemba, 2023 ameshiriki matembezi ya Jeshi la Polisi yenye lengo la kumpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)

(Mimi naona wanakimbia hawa)

View attachment 2811005
Mbona bichwa lako la habari haliendani na utumbo wako wa habari?
 
Ndivyo mlivyozoeshwa, heading story ikuvutie ili ukapambane na huo utumbo wako 😂!.
Huo ni ujinga na uongo wa hali ya juu.

Ukiona mtu anaeandika hivyo fahamu kuwa maisha yake yote anaishi kwa uongo na hana maadili kabisa.

Mara nyingi huwa ni mtu ambae kalelewa nyumbani kwa mama'ke asiye na mume na kila mwanamme anayeingia kwao anaambiwa "mwamkie baba'ko".
 
Mliokuzwa na single maza mna hadithi nyingi sana kutokana na kile ulichopitia, kwa umri huo unapoanza le kutupatia simulizi ni umechelewa sababu hakuna na hatujui babako halali ni yupi.

Hapa jukwaani wadau tumeshtuka pole, utampata baba wa kufikia nje ya JF 😂!.
 
Picha chini ni spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, tarehe 11 Novemba, 2023 ameshiriki matembezi ya Jeshi la Polisi yenye lengo la kumpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)

(Mimi naona wanakimbia hawa)

View attachment 2811005
Polisi wamemwagwa, ccm hawajiamini kabisa!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Mwacheni tu muda wake utafika atakaa pembeni....
Au kama vp wamuweke spika wa bunge wa milele

Ova
 
Back
Top Bottom