Kihodombi Kingamba
JF-Expert Member
- Feb 9, 2016
- 243
- 108
Unawashwa wewe!Hapa Kazi Tu. sina hakika kama Lowasa, Kingunge na wengineo wanaendelea kuamini kuwa CCM imeishiwa pumzi
Hapa Kazi Tu. sina hakika kama Lowasa, Kingunge na wengineo wanaendelea kuamini kuwa CCM imeishiwa pumzi

Mkuu hiyo Avatar yako imepitwa na wakati.
Nimesoma leo kwenye gazeti la nipashe habari zenye matumaini makubwa kwa taifa letu zikisema kuwa ujenzi wa bomba la mafuta kwenda Uganda utaanza mwezi August mwaka huu.
Hizi kwangu mimi ni taarifa nzuri katika misingi kwamba serikali yetu kweli sasa imedhamiria kuitumia mianya yote muhimu kwa haraka ili kujenga uchumi wetu.
Tumezoea miaka iliyopita kuona mipango kama hii yenye kuleta matumaini kwa nchi yetu inachukua miaka mingi wakati fulani bila hata kutekelezwa.
Ni juzi tu tulimsikia Rais wetu mpendwa mara baada ya kikao cha wakuu wa Nchi za Afrika mashariki kwisha akatujuza kuwa wamekubaliana na Rais Mseveni kuwa bomba la kusafirisha mafuta litajengwa toka bandari ya Tanga.
Leo watendaji wake wamedai wanafanya kazi usiku kucha kuhakikisha bomba hili linaanza kujengwa ifikapo August mwaka huu.
Wataalamu hao wameeleza kuwa hata mabomba yatakayolazwa yataletwa hapa nchini kupitia bandari hiyo hiyo ya Tanga.
Inamaanisha bandari yetu itakuwa busy. Nimpongeze Mheshimiwa Rais wetu kwa ufanisi uliobobea na tunakuomba zinapotokea fursa kama hizi usizilazie damu maana ndio ukombozi wetu.
Ajira kwa watu 15000 sio mchezo achilia mbali na mambo mengine ya ushuru wa mafuta yenyewe kwa kupitia kwetu.
Wakenya sasa wanalalamika sana kwa uamzi uliofanywa maana walitegemea sana mradi huo upite kwao kama walivyofanya ujenzi wa reli inayotumia umeme ili kuteka biashara iliyokuwepo tangu awali ya kusafirisha mizigo ya waganda kupitia reli ya kati ambayo tangu 2000 nimekuwa nasikia tutajenga reli ya kisasa mpaka leo hii ni wimbo tu.
Kilichonikatisha tamaa zaidi ni pale nilipomsikia waziri wetu wa fedha aliposema kama tutajenga kwa kutumia fedha zetu za ndani (bajet) tutatumia miaka 300 kuimaliza. Labda mheshimiwa utachukua hatua.
Mimi nina wasiwasi na nitakua Tomaso mpaka nione hiyo kazi ya kujenga hilo bomba imeanza.Waganda wamejitoa kuleeee kwa nanihii!?
Mimi nina wasiwasi na nitakua Tomaso mpaka nione hiyo kazi ya kujenga hilo bomba imeanza.
Nimesoma leo kwenye gazeti la nipashe habari zenye matumaini makubwa kwa taifa letu zikisema kuwa ujenzi wa bomba la mafuta kwenda Uganda utaanza mwezi August mwaka huu.
Hizi kwangu mimi ni taarifa nzuri katika misingi kwamba serikali yetu kweli sasa imedhamiria kuitumia mianya yote muhimu kwa haraka ili kujenga uchumi wetu.
Tumezoea miaka iliyopita kuona mipango kama hii yenye kuleta matumaini kwa nchi yetu inachukua miaka mingi wakati fulani bila hata kutekelezwa.
Ni juzi tu tulimsikia Rais wetu mpendwa mara baada ya kikao cha wakuu wa Nchi za Afrika mashariki kwisha akatujuza kuwa wamekubaliana na Rais Mseveni kuwa bomba la kusafirisha mafuta litajengwa toka bandari ya Tanga.
Leo watendaji wake wamedai wanafanya kazi usiku kucha kuhakikisha bomba hili linaanza kujengwa ifikapo August mwaka huu.
Wataalamu hao wameeleza kuwa hata mabomba yatakayolazwa yataletwa hapa nchini kupitia bandari hiyo hiyo ya Tanga.
Inamaanisha bandari yetu itakuwa busy. Nimpongeze Mheshimiwa Rais wetu kwa ufanisi uliobobea na tunakuomba zinapotokea fursa kama hizi usizilazie damu maana ndio ukombozi wetu.
Ajira kwa watu 15000 sio mchezo achilia mbali na mambo mengine ya ushuru wa mafuta yenyewe kwa kupitia kwetu.
Wakenya sasa wanalalamika sana kwa uamzi uliofanywa maana walitegemea sana mradi huo upite kwao kama walivyofanya ujenzi wa reli inayotumia umeme ili kuteka biashara iliyokuwepo tangu awali ya kusafirisha mizigo ya waganda kupitia reli ya kati ambayo tangu 2000 nimekuwa nasikia tutajenga reli ya kisasa mpaka leo hii ni wimbo tu.
Kilichonikatisha tamaa zaidi ni pale nilipomsikia waziri wetu wa fedha aliposema kama tutajenga kwa kutumia fedha zetu za ndani (bajet) tutatumia miaka 300 kuimaliza. Labda mheshimiwa utachukua hatua.
Mkuu ni kweli kabisa. Mambo ya "upembuzi yakinifu", "detailed design", Kutangaza tenda, Kumpata Mshauri Mwelekezi, Kupata "No objection" toka WB n.k. yanakera mno!Rais lisema yeye mambo ya mchakato hapana NIKAZI TU
Tuendelee kumuunga Mkono rais wetu wa ukweli,
Sio Rais wa kuzungusha mikono ya Wanywa viroba
Na wewe mkwepa kodi jitahid kulipa kodi sasa nchi iendelee.Safi sana tunaamini sasa uchumi utaimarika