Kweli Mike Tyson ndio wa kukosa hii hook, hakika ile match ilikuwa stage play

kali linux

JF-Expert Member
May 21, 2017
2,170
5,618
Cheki hapa, huyu dogo hii hook ingemuweka chini moja kwa moja na ikawa KO ila mike akaipotezea, chek hii clip hapa chini



Laiti hio hook mike angeituma kichwan kwa huyo dogo wangemtoa dogo hapo akiwa kwenye stretcher. Na ukicheki vzr mike alifake punch dogo akaidefend kisha akamuachia access mike upande mwingine wooote kabisa. Ama kweli tutafute hela ili uzeeni tusifanyiwe utani walomfanyia mike
 
Back
Top Bottom