Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 643
Wewe tuu na imani zako za kichawiWakuu habari zenu
Unajua nimekuwa nikijiuliza hivi kwa nini zoezi la kuzima simu linahusisha Sita tatu namaanisha tarehe Sita mwezi wa Sita mwaka 2016 tukiziunganisha tunapata jumla ya Sita tatu yaani 666 hivi hii inakuaje kwa hawa freemason?
Jaman kwan muda bado tuuWakuu habari zenu
Unajua nimekuwa nikijiuliza hivi kwa nini zoezi la kuzima simu linahusisha Sita tatu namaanisha tarehe Sita mwezi wa Sita mwaka 2016 tukiziunganisha tunapata jumla ya Sita tatu yaani 666 hivi hii inakuaje kwa hawa freemason?
Eti kwani wewe ulikuwa miongoni mwa wale wa udom au?Wakuu habari zenu
Unajua nimekuwa nikijiuliza hivi kwa nini zoezi la kuzima simu linahusisha Sita tatu namaanisha tarehe Sita mwezi wa Sita mwaka 2016 tukiziunganisha tunapata jumla ya Sita tatu yaani 666 hivi hii inakuaje kwa hawa freemason?
UmekaririEti kwani wewe ulikuwa miongoni mwa wale wa udom au?
Kwani freemason tz haipo au umekaririHiyo tarehe si zinazimwa Tanzania tu.. Kwani umeambiwa dunia nzima
Wakuu habari zenu
Unajua nimekuwa nikijiuliza hivi kwa nini zoezi la kuzima simu linahusisha Sita tatu namaanisha tarehe Sita mwezi wa Sita mwaka 2016 tukiziunganisha tunapata jumla ya Sita tatu yaani 666 hivi hii inakuaje kwa hawa freemason?
Nimeotea, nimepata patia!Umekariri
Uamuzi ni wako kuamua sasaNimeotea, nimepata patia!
Muhammad ali masikinihapana sidhani
666 sio leo.. kwa nionavyo mimi
leo ni 16/6/2016
1+6 =7
6
1+6=7
leo ni 767
ilibidi iwe 15/6/2015
ndo ingekua 666 nahisi