MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,304
Watapeana kodi zetu wao, wake zao, waume zao na hata watoto wao kwa vile siye ni Nyani tuUkweli nimeshangaa sana tena kusikia WENZA wa VIONGOZI wafuatao Wanapaswa kulipwa MAFAO: Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
Binafsi naamini hawa VIONGOZI ni Watumishi wa Umma kama Walivyo Watumishi wengine. Pamoja na MISHAHARA MIKUBWA na MINONO Viongozi hawa hulipwa MAFAO MANONO pindi wanapomaliza Utumishi wao na pia huendelea KULIPWA MISHAHARA kwa Asilimia 80 ya Mishahara ya Viongozi wenye Vyeo kama VYAO waliopo Madarakani .Swali la kujiuliza hawa WENZA WA VIGOGO wanalipwa MAFAO kwa KAZI GANI walioifanya kwa SERIKALI?
VIONGOZI wetu hebu tufike mahali tuwe na HURUMA na UBINADAMU kwa Wananchi wetu MAFAO hayo mnayolipana ni KODI za WANANCHI MASIKINI na WATUMISHI wenye MISHAHARA MIDOGO na WAFANYABIASHARA wanazilipa kwa ajili ya kuletewa MAENDELEO lakini SERIKALI imeona ipanue UWIGO wa KULIPANA MAFAO wakati kuna Watumishi wanalipwa MISHAHARA KUDUCHU ambayo haikidhi MAISHA na bado WAKISTAAFU wanalipwa MAFAO DUNI kabisa huku wakiwa WAMEITUMIKIA NCHI tofauti na hao WENZA wa VIONGOZI.
VIONGOZI wetu hii NCHI ni yetu WOTE tugawane KEKI ya TAIFA kwa USAWA
View attachment 2752002
Huu nao no upumbavu. Kama vipi basi na wake au wenza wa wastaafu wote nchini nao walipwe pensheni anayolipwa mwenza wake aliyestaafuUkweli nimeshangaa sana tena kusikia WENZA wa VIONGOZI wafuatao Wanapaswa kulipwa MAFAO: Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
Binafsi naamini hawa VIONGOZI ni Watumishi wa Umma kama Walivyo Watumishi wengine. Pamoja na MISHAHARA MIKUBWA na MINONO Viongozi hawa hulipwa MAFAO MANONO pindi wanapomaliza Utumishi wao na pia huendelea KULIPWA MISHAHARA kwa Asilimia 80 ya Mishahara ya Viongozi wenye Vyeo kama VYAO waliopo Madarakani .Swali la kujiuliza hawa WENZA WA VIGOGO wanalipwa MAFAO kwa KAZI GANI walioifanya kwa SERIKALI?
VIONGOZI wetu hebu tufike mahali tuwe na HURUMA na UBINADAMU kwa Wananchi wetu MAFAO hayo mnayolipana ni KODI za WANANCHI MASIKINI na WATUMISHI wenye MISHAHARA MIDOGO na WAFANYABIASHARA wanazilipa kwa ajili ya kuletewa MAENDELEO lakini SERIKALI imeona ipanue UWIGO wa KULIPANA MAFAO wakati kuna Watumishi wanalipwa MISHAHARA KUDUCHU ambayo haikidhi MAISHA na bado WAKISTAAFU wanalipwa MAFAO DUNI kabisa huku wakiwa WAMEITUMIKIA NCHI tofauti na hao WENZA wa VIONGOZI.
VIONGOZI wetu hii NCHI ni yetu WOTE tugawane KEKI ya TAIFA kwa USAWA
View attachment 2752002
....kutoka kwa mpumbavu mmoja aliyekaa Magogoni miaka 10!.proposal ya kipumbavu
Ni mateso sana kuishi Tanzania. Nchi pekee ambayo majambazi kujifichia kwenye siasa kupewa vyeo vikubwa vikubwa. Wewe unazani jambazi anaweza akawa na huruma...?😭😭😭Nchi ya kisenge sana hii
Nchi tumewakabidhi watu wabinafsi, wachumia tumbo.
Hakuna anaemfikiria mtanzania wa mwisho kabisa.. ni walafi kweli
Usiseme hivoWatapeana kodi zetu wao, wake zao, waume zao na hata watoto wao kwa vile siye ni Nyani tu
View attachment 2752061
Haiwezekani kulipwa... hata hao viongozi wao wakishatoka madarakani nashauri wasilipwe. Kwani hawakujiandaa kustaafu kama wengine. Kuendelea kuwalipa ni wizi tu kama wizi mwingine hata kama Sheria zinaruhusu. Watanzania tukatae kuendelea kufuja Mali za nchi. By the way viongozi wastaafu wanalipwa kwa sababu wameganyw kazi gani?Ukweli nimeshangaa sana tena kusikia WENZA wa VIONGOZI wafuatao Wanapaswa kulipwa MAFAO: Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
Binafsi naamini hawa VIONGOZI ni Watumishi wa Umma kama Walivyo Watumishi wengine. Pamoja na MISHAHARA MIKUBWA na MINONO Viongozi hawa hulipwa MAFAO MANONO pindi wanapomaliza Utumishi wao na pia huendelea KULIPWA MISHAHARA kwa Asilimia 80 ya Mishahara ya Viongozi wenye Vyeo kama VYAO waliopo Madarakani .Swali la kujiuliza hawa WENZA WA VIGOGO wanalipwa MAFAO kwa KAZI GANI walioifanya kwa SERIKALI?
VIONGOZI wetu hebu tufike mahali tuwe na HURUMA na UBINADAMU kwa Wananchi wetu MAFAO hayo mnayolipana ni KODI za WANANCHI MASIKINI na WATUMISHI wenye MISHAHARA MIDOGO na WAFANYABIASHARA wanazilipa kwa ajili ya kuletewa MAENDELEO lakini SERIKALI imeona ipanue UWIGO wa KULIPANA MAFAO wakati kuna Watumishi wanalipwa MISHAHARA KUDUCHU ambayo haikidhi MAISHA na bado WAKISTAAFU wanalipwa MAFAO DUNI kabisa huku wakiwa WAMEITUMIKIA NCHI tofauti na hao WENZA wa VIONGOZI.
VIONGOZI wetu hii NCHI ni yetu WOTE tugawane KEKI ya TAIFA kwa USAWA
View attachment 2752002
Hawezi mkuu.Ni mateso sana kuishi Tanzania. Nchi pekee ambayo majambazi kujifichia kwenye siasa kupewa vyeo vikubwa vikubwa. Wewe unazani jambazi anaweza akawa na huruma...?😭😭😭
Hayati Mwl. Julius K. Nyerere alisema tuchague viongozi wanaotambua wataifanyia nini Tanzania siyo viongozi wanaouliza Tanzania itawafanyia nini?Ukweli nimeshangaa sana tena kusikia WENZA wa VIONGOZI wafuatao Wanapaswa kulipwa MAFAO: Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
Watu wakidai katiba wanaambiwa wasubiri darasa la miaka mitatu kuelimishwa maana ya katiba!Ukweli nimeshangaa sana tena kusikia WENZA wa VIONGOZI wafuatao Wanapaswa kulipwa MAFAO: Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
Binafsi naamini hawa VIONGOZI ni Watumishi wa Umma kama Walivyo Watumishi wengine. Pamoja na MISHAHARA MIKUBWA na MINONO Viongozi hawa hulipwa MAFAO MANONO pindi wanapomaliza Utumishi wao na pia huendelea KULIPWA MISHAHARA kwa Asilimia 80 ya Mishahara ya Viongozi wenye Vyeo kama VYAO waliopo Madarakani .Swali la kujiuliza hawa WENZA WA VIGOGO wanalipwa MAFAO kwa KAZI GANI walioifanya kwa SERIKALI?
VIONGOZI wetu hebu tufike mahali tuwe na HURUMA na UBINADAMU kwa Wananchi wetu MAFAO hayo mnayolipana ni KODI za WANANCHI MASIKINI na WATUMISHI wenye MISHAHARA MIDOGO na WAFANYABIASHARA wanazilipa kwa ajili ya kuletewa MAENDELEO lakini SERIKALI imeona ipanue UWIGO wa KULIPANA MAFAO wakati kuna Watumishi wanalipwa MISHAHARA KUDUCHU ambayo haikidhi MAISHA na bado WAKISTAAFU wanalipwa MAFAO DUNI kabisa huku wakiwa WAMEITUMIKIA NCHI tofauti na hao WENZA wa VIONGOZI.
VIONGOZI wetu hii NCHI ni yetu WOTE tugawane KEKI ya TAIFA kwa USAWA
View attachment 2752002
Tulizo la moyo la kiongozi.Ukweli nimeshangaa sana tena kusikia WENZA wa VIONGOZI wafuatao Wanapaswa kulipwa MAFAO: Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.