Kwanini wenza wa vigogo walipwe mafao? Wamelifanyia nini taifa hili?

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
May 28, 2023
930
1,304
Ukweli nimeshangaa sana tena kusikia WENZA wa VIONGOZI wafuatao Wanapaswa kulipwa MAFAO: Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.

Binafsi naamini hawa VIONGOZI ni Watumishi wa Umma kama Walivyo Watumishi wengine. Pamoja na MISHAHARA MIKUBWA na MINONO Viongozi hawa hulipwa MAFAO MANONO pindi wanapomaliza Utumishi wao na pia huendelea KULIPWA MISHAHARA kwa Asilimia 80 ya Mishahara ya Viongozi wenye Vyeo kama VYAO waliopo Madarakani .Swali la kujiuliza hawa WENZA WA VIGOGO wanalipwa MAFAO kwa KAZI GANI walioifanya kwa SERIKALI?

VIONGOZI wetu hebu tufike mahali tuwe na HURUMA na UBINADAMU kwa Wananchi wetu MAFAO hayo mnayolipana ni KODI za WANANCHI MASIKINI na WATUMISHI wenye MISHAHARA MIDOGO na WAFANYABIASHARA wanazilipa kwa ajili ya kuletewa MAENDELEO lakini SERIKALI imeona ipanue UWIGO wa KULIPANA MAFAO wakati kuna Watumishi wanalipwa MISHAHARA KUDUCHU ambayo haikidhi MAISHA na bado WAKISTAAFU wanalipwa MAFAO DUNI kabisa huku wakiwa WAMEITUMIKIA NCHI tofauti na hao WENZA wa VIONGOZI.

VIONGOZI wetu hii NCHI ni yetu WOTE tugawane KEKI ya TAIFA kwa USAWA
758718553.jpg
 
Nilimshangaa sana mama Salma K alipopeleka hoja hii bungeni yasni pamoja mipesa yote waliopiga deal Ikulu plus pesa ubunge badoo anataka alipwe khaaa hadi sasa simuelewi tamaa gani hiyo? Nchi masikini kama hiii wananchi masikini wa kutupwa ....hawana hata hope.....wanasiasa nawachukiaaa
 
Ukweli nimeshangaa sana tena kusikia WENZA wa VIONGOZI wafuatao Wanapaswa kulipwa MAFAO: Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.

Binafsi naamini hawa VIONGOZI ni Watumishi wa Umma kama Walivyo Watumishi wengine. Pamoja na MISHAHARA MIKUBWA na MINONO Viongozi hawa hulipwa MAFAO MANONO pindi wanapomaliza Utumishi wao na pia huendelea KULIPWA MISHAHARA kwa Asilimia 80 ya Mishahara ya Viongozi wenye Vyeo kama VYAO waliopo Madarakani .Swali la kujiuliza hawa WENZA WA VIGOGO wanalipwa MAFAO kwa KAZI GANI walioifanya kwa SERIKALI?

VIONGOZI wetu hebu tufike mahali tuwe na HURUMA na UBINADAMU kwa Wananchi wetu MAFAO hayo mnayolipana ni KODI za WANANCHI MASIKINI na WATUMISHI wenye MISHAHARA MIDOGO na WAFANYABIASHARA wanazilipa kwa ajili ya kuletewa MAENDELEO lakini SERIKALI imeona ipanue UWIGO wa KULIPANA MAFAO wakati kuna Watumishi wanalipwa MISHAHARA KUDUCHU ambayo haikidhi MAISHA na bado WAKISTAAFU wanalipwa MAFAO DUNI kabisa huku wakiwa WAMEITUMIKIA NCHI tofauti na hao WENZA wa VIONGOZI.

VIONGOZI wetu hii NCHI ni yetu WOTE tugawane KEKI ya TAIFA kwa USAWA
View attachment 2752002
Watapeana kodi zetu wao, wake zao, waume zao na hata watoto wao kwa vile siye ni Nyani tu

1694939658469.png
 
Huu nao no upumbavu. Kama vipi basi na wake au wenza wa wastaafu wote nchini nao walipwe pensheni anayolipwa mwenza wake aliyestaafu
 
Ukweli nimeshangaa sana tena kusikia WENZA wa VIONGOZI wafuatao Wanapaswa kulipwa MAFAO: Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.

Binafsi naamini hawa VIONGOZI ni Watumishi wa Umma kama Walivyo Watumishi wengine. Pamoja na MISHAHARA MIKUBWA na MINONO Viongozi hawa hulipwa MAFAO MANONO pindi wanapomaliza Utumishi wao na pia huendelea KULIPWA MISHAHARA kwa Asilimia 80 ya Mishahara ya Viongozi wenye Vyeo kama VYAO waliopo Madarakani .Swali la kujiuliza hawa WENZA WA VIGOGO wanalipwa MAFAO kwa KAZI GANI walioifanya kwa SERIKALI?

VIONGOZI wetu hebu tufike mahali tuwe na HURUMA na UBINADAMU kwa Wananchi wetu MAFAO hayo mnayolipana ni KODI za WANANCHI MASIKINI na WATUMISHI wenye MISHAHARA MIDOGO na WAFANYABIASHARA wanazilipa kwa ajili ya kuletewa MAENDELEO lakini SERIKALI imeona ipanue UWIGO wa KULIPANA MAFAO wakati kuna Watumishi wanalipwa MISHAHARA KUDUCHU ambayo haikidhi MAISHA na bado WAKISTAAFU wanalipwa MAFAO DUNI kabisa huku wakiwa WAMEITUMIKIA NCHI tofauti na hao WENZA wa VIONGOZI.

VIONGOZI wetu hii NCHI ni yetu WOTE tugawane KEKI ya TAIFA kwa USAWA
View attachment 2752002
Haiwezekani kulipwa... hata hao viongozi wao wakishatoka madarakani nashauri wasilipwe. Kwani hawakujiandaa kustaafu kama wengine. Kuendelea kuwalipa ni wizi tu kama wizi mwingine hata kama Sheria zinaruhusu. Watanzania tukatae kuendelea kufuja Mali za nchi. By the way viongozi wastaafu wanalipwa kwa sababu wameganyw kazi gani?
 
Ukweli nimeshangaa sana tena kusikia WENZA wa VIONGOZI wafuatao Wanapaswa kulipwa MAFAO: Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
Hayati Mwl. Julius K. Nyerere alisema tuchague viongozi wanaotambua wataifanyia nini Tanzania siyo viongozi wanaouliza Tanzania itawafanyia nini?
 
Ukweli nimeshangaa sana tena kusikia WENZA wa VIONGOZI wafuatao Wanapaswa kulipwa MAFAO: Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.

Binafsi naamini hawa VIONGOZI ni Watumishi wa Umma kama Walivyo Watumishi wengine. Pamoja na MISHAHARA MIKUBWA na MINONO Viongozi hawa hulipwa MAFAO MANONO pindi wanapomaliza Utumishi wao na pia huendelea KULIPWA MISHAHARA kwa Asilimia 80 ya Mishahara ya Viongozi wenye Vyeo kama VYAO waliopo Madarakani .Swali la kujiuliza hawa WENZA WA VIGOGO wanalipwa MAFAO kwa KAZI GANI walioifanya kwa SERIKALI?

VIONGOZI wetu hebu tufike mahali tuwe na HURUMA na UBINADAMU kwa Wananchi wetu MAFAO hayo mnayolipana ni KODI za WANANCHI MASIKINI na WATUMISHI wenye MISHAHARA MIDOGO na WAFANYABIASHARA wanazilipa kwa ajili ya kuletewa MAENDELEO lakini SERIKALI imeona ipanue UWIGO wa KULIPANA MAFAO wakati kuna Watumishi wanalipwa MISHAHARA KUDUCHU ambayo haikidhi MAISHA na bado WAKISTAAFU wanalipwa MAFAO DUNI kabisa huku wakiwa WAMEITUMIKIA NCHI tofauti na hao WENZA wa VIONGOZI.

VIONGOZI wetu hii NCHI ni yetu WOTE tugawane KEKI ya TAIFA kwa USAWA
View attachment 2752002
Watu wakidai katiba wanaambiwa wasubiri darasa la miaka mitatu kuelimishwa maana ya katiba!
 
Tulizo la moyo la kiongozi.
 
Back
Top Bottom