Shanily
JF-Expert Member
- Nov 4, 2024
- 768
- 1,545
Yaani kwa tafiti kadhaa nilizofanya na uzoefu binafsi nimeamini kweli watu wapole na watulivu hawanaga bahati kwenye mahusiano.
Unaweza kuta mdada mzuri, mtulivu, hana makuu lakini aliyeolewa nae sasa pasua kichwa, vurugu, amani hakuna.
Au mkaka mpole, mvumilivu anaoa kicheche, mtaa mzima anamaliza, ana mdomo hataree lakini watu vicheche hudumu ndoani kuliko hawa mdada au mkaka mpole.
Kuna shida gani na huu upole?
Mnaweza oana wapole kwa wapole na msikae lakini vicheche kwa vicheche wanamaliza miaka pamoja.